Niliposkiliza clip za Nassari apa JF wale madiwan waliorekodiwa bila kujua walikri kua Diwani pekee ambaye alikataa ela ni huyu Mchungaji Ngowi kama sikosei
Mmawia Don Panic JENGA hoja usimtukane mwenzako kwa hoja ambazo hazkuongezei mlo inaonyesha jinsi mnavyopelekwa na matukio usiabudu vyama simama wewe kama mwenye kujitambua unaonyesha kua kichwani kwako mwepesi na mweupe u have to mature. ...usmuabudu EL au mbowe abudu akili yako na imani...
Hahaha kaka nisamehe mimi...mbona umekua mkali sana kuna evidence nyingi ambazo mahakama hawakuzdsplay especially za Tallying. ...nenda deep utajua Mengi ila Uhuru chini ya master mind wake Ruto anayetaka Urais 2022 ata kwa kumwaga damu wanaipasua Kenya ...
Kataa kubali Uhuru aliiba najua...
Utajiri wa Dangote ameuchuma kwa kuhonga wanasiasa katika nchi mbalimbali anakomiliki vitega uchumi kuanzia kwao Nigeria na Target yake kubwa hua ni Mawaziri ...kwa kifupi anaamini katika kutumia Rushwa ili kukwepa kodi na kupata kandarasi kubwa hivyo si msafi file lake ni chafu
Bila shaka watoto wa juzi ambao hawakubahatka kuangalia World Cup ya 1998 ambayo Chrstiano Ronaldo alkua na miaka 12 na Gaucho bado alkua nyumban Brazil watakuambia Christiano na Gaucho ndio bora...wakati The Phenomenon,Ronaldo De Luis Nazario Lima alikua pale Paris akiwa anachanganya chenga...
Amekimbia kwa sababu marekebsho IEBC waliyoamriwa na mahakama wayafanye hawajafanya ikiwemo kuwaondoa maofsa waliohuska na wizi wa kura...kuinyma kandarasi kampun iliyoprint karatas za kura na kampun ya simu iliyotowa network and IT support ambayo ni Safaricom
August 8 Uhuru hakushinda zile kura ni vifaranga vya computer zilitotolewa na mashine ndio maana Mahakama ikautupiliwa mbali. ..inasemekana mashine ya kutotoa kura ilikua Karen ....kura halisi zilitumwa kwenye sever Ufaransa ambazo uhuru aligaragazwa vibaya....haujui ni kwanini Uhuru ataki Ezra...
Hongera zake alimtumia mke wa Chaz Taylor aliyeko Gerezani kutokana na Umwagaji damu kule Sireleone kama mgombea mwenza na akambeba Wear kwa taarifa tu kwa wasiojua ni kua bado Charles Taylor anapendwa sana nchini Liberia na katika kipindi cha kampeni alipga simu live kwenye media /Tv na kumpgia...
Nassari ulifanya jambo jema kuanika uovu huo sasa achana na hizo drama fanya kazi ya kutumikia wananchi usilewe sifa si Arumeru tu madiwani walikoondoka na kama ujajitambua ilo zigo Lema na Mbowe wamekuachia wewe...kumbuka Arusha jimbon kwa Lema madiwani kwake waliondoka na Hai kwa Mbowe pia...
SGR ya Tanzania Mkandarasi ndio yupo site na ela yote ipo ya kazi what's the problem kwan...kuna maeneo maalum kwa akili na yasiyo na akili dunian?
Tanzania tuna safari ndefu sana siamin kama Watanzania ndio wanaomba Mungu Reli yetu ikwame cz kwa maoni yako ata mtoto mdogo anajua unaomba Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.