Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

Barya

JF-Expert Member
May 5, 2012
950
1,190
1.Ronaldo Luís Nazário de Lima

Heshima
Club
Cruzeiro[6]
Campeonato Mineiro (1): 1994
Copa do Brasil (1): 1993

PSV Eindhoven[6]

Barcelona[6]

Inter Milan[6]
Real Madrid[6]
Corinthians[6]
International
Brazil[6]
Individual

kwa kifupi De lima hajawahi kubeba UEFA ila amebeba makombe mengi yenye heshima zaid ya UEFA zaid ya RONALDINHO NA CHRISTIANO
WORLD CUP 2
CONFEDERATION CUP 2

haya hakuna ambaye kashayafikia hata mmoja

PIA ni mchezaji bora wa dunia mara TATU 1998,2002, 2003
FIFA ballon dor 2001, NA 2002 MARA MBILI KABLA HAZIJATENGWE MWAKA
2009
JUMLA TUZO TANO ZA FIFA WORLD BEST PLAYER

2. RONALDINHO GAUCHO

HESHIMA NA TUZO
Club

Paris Saint-Germain

Barcelona

Milan

Atlético Mineiro

International
Brazil[157]

Individual

MCHEZAJI BORA WA DUNIA MARA 2 2005 NA 2006 NA FIFA BALLON DOR 2005 NA 2006 KABLA HAIJATENGANISHWA

KOMBE LA DUNIA MOJA NA CONFEDERATION CUP 1
naye yuko juu ya christiano ronaldo
ana UEFA 2

3. CHIRSTIANO RONALDO

PAMOJA NA KUWA NYUMA YAO NA YA MESII PIA NAYE NI MKALI.
Ronaldo presenting his third Ballon d'Or to fans at the Santiago Bernabéuin January 2015
Club
Sporting CP
Manchester United[544]
Real Madrid[544]
International
Portugal
Individual

  • NIMEMKUBALI DE LIMA ZAID,

COMMENT KWA FACTS
 
Kwa Ronaldo de Lima ambaye kipindi kile nilimuona mara chache sana.
Kwa Gaucho ambaye nilimona mara nyingi zaidi.
Na kwa Cristiano ambaye nimemuona mara kwa mara kwa upande wangu ni wazi kuwa Ronaldo De Lima alikuwa na kitu cha ziada.
Ile namba tisa ilikuwa hatari sana. Nadhani huyu anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi World cup.
 
Sasa hivi siyo yeye yule mjerumani klose ndiye mwenye magoli mengi
 
Mtoa mada huenda umelinganisha watu wasio fanana kabisa kimpira, De Lima kazi yake ilikuwa kufungu, vyenga sio sana. Gaucho yeye alikuwa anachezea mpira zaidi kuliko kufunga magoli.
Kwa mm nachukulia mpira kama burudani kwa hiyo Gaucho nampa heko
Vip christina anayetambalia jina la de limA?
 
Mtoa mada huenda umelinganisha watu wasio fanana kabisa kimpira, De Lima kazi yake ilikuwa kufungu, vyenga sio sana. Gaucho yeye alikuwa anachezea mpira zaidi kuliko kufunga magoli.
Kwa mm nachukulia mpira kama burudani kwa hiyo Gaucho nampa heko
Ronaldinho gaucho Hatari sana
 
Back
Top Bottom