Mida hiyo umeme ulikatika Mwanza saa 5 kasoro asbh na umerudi jioni saa 9 mchana huwenda kulikua na blackout grid ya taifa ndio ikachangia hiyo hitilafu kwenye SGR tuwape muda bado mapema sana
We jamaa tafuta urologist mzuri na itakua gharama sana though nimeona majibu yako Sandy patches ni makovu yanayotokana na ugonjwa wa kichocho na wewe ulipata kichocho cha kibofu cha mkojo ambacho kwa badae inaweza kusababisha ukapata saratani ya kibofu hili tatizo lote ni madhara au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.