Recent content by Mtanke

  1. M

    JamiiForums Tanzania Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA

    Mnakumbuka hili andiko!? Ngojeni press ya Leo mtaelewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumkumbatia Mwanamke aliyeko Eda imekaaje hii Masheikh!?

    Bila shaka Eda na Udhu vinaenda sambamba! Mimi sio muislam niko tayari kuelimishwa. Je mwanamke aliyeko Eda kukumbatiwa na mwanaume inaswihi!?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

    Tena akiwa kwenye eda na udhu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Kamati Kuu ya CCM ikamfuta Dr Samia Uanachama atapoteza Urais

    Makamu Mwenyekiti Mzee Wasira
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jussa kaamua kufungua Pandora box! Kazi imekwisha

    Yesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona. Kumbe wazanzibar ni wamoja na wameshikana kindakindaki na ajenda yao ambayo huenda Mama amepanga kuwapatia kama tunu na shujaa wa Taifa lao. Msikilize Jussa utaelewa ya chini ya kapeti na nyuma ya pazia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi anaweza kuja kuwafunga watu kwa Uhaini

    Mara nyingi ukimchukia mtu unaweza kujikuta umeingia kwenye makosa na utata mwingi. Kwa jinsi nilivyofuatilia kesi ya Lissu ni kuwa kumteka Makamu wa Rais, kumtishia n.k ndio ugaidi halisi. Mzee warioba ameonyesha kuwa Nchimbi hakupokea simu yake huku ikidaiwa kuwa amenyang'anywa simu na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakivuliwa uanachama wanaendelea na Ubunge ila Makamu aaaaa!

    Sheria ya nchi hii kwasasa inatafsiriwa kulingana ni nani anatakiwa kuhukumiwa. Kangarooo. Mwanasheria Mkuu Leo anatafsiri vitu almradi tu Nchimbi awe na hatua. CCM kajifunzeni CHADEMA tangu enzi za Zitto, Arfi na Prof Safari
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndejembi atakula mafao na pensheni kwa miaka mingapi mbele!?

    Katika hizi teuzi za nafasi kubwa serikalini ni vizuri kuteua watu ambao umri umeenda kidogo ili kulipungizia Taifa gharama ya kuhudumia Wastaafu kwa miaka mingi ijayo. Mtu kama Ndejembi akiwa makama wa Rais Sasa kwa miaka mitano tu na yuko below 60 hata Nchimbi for God sake watakula hizo 80%...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je mnakumbuka sarakasi za Rajolina wa Madagasca kabla hajaikimbia nchi!?

    Pale Madagasca Bwana Rajolina alichaguliwa, akaapa, akateua Waziri Mkuu na baraza lake la mawaziri. Kabla hata mwaka haujaisha akafukuza Waziri Mkuu wake na kuteua mwanajeshi kuwa Waziri Mkuu mara baada ya muda akalalamika kuwa wanajeshi wanataka kumuua! Mara hili mara lile akatangaza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

    Utasemaje hayo yakitokea!? Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

    Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote. Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi anaweza kufuata Strategy ya Lissu dhidi ya Mbowe

    Katika nafasi yake Lissu alifanikiwa kupindua meza na kuufuta utawala wa Mbowe katika mazingira ambayo hayakutarajiwa. Nchimbi nafikiri anahitaji mtu wa nafasi/Role ya Mnyika na Heche. Same playbook
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kikao hiki ndio kiliamua hizi drama za siasa za upinzani/CHADEMA ili Mama Samia apete October

    Naweza kuwa nilikuwa sahihi wakati ule nini!? Ngoja nione kama wote waliohama watarudi Chadema baada ya kumaliza kazi!?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais hajazungumza na Lissu huko Segerea!?

    Yote ni magereza ya mahabusu na wafungwa kwa wakati mmoja
Back
Top Bottom