Hii nchi imeoza kabisa. Tumejenga taifa la watu wasiopenda kujituma, na watu wanaopenda kufanya mambo yote kinyume na maadili ya kiutu na kiutendaji wa kazi katika sehemu zao. Hali hii iko kuanzia kwa watendaji serikalini hadi sekta binafsi. Kwa mfano mtu anayechakachua mafuta ya magari, hivi ni...
Nimekaa kwenye kona, na hii kompyuta nikishangaa jinsi ushabiki wa mabaya yanayowakuta watu unavyoshangiliwa, asijikwae mtu ambaye jina lake limezoeleka katika jamii (mchungaji, mwanasiasa, mcheza sinema, nk) utaona watu wanavyo amka na kupata nguvu ya ziada kuchangia kutaka kumdidimiza kwa...
Being a technologically challenged being, it took me this long to register, but it is really good to be here finally. Asanteni kwa kunikaribisha, Mtanganyikan mie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.