Kusengenya watu kunakogeuka sifa na utamaduni mpya wa jamii

Mtanganyikan

Member
Nov 18, 2009
8
0
Nimekaa kwenye kona, na hii kompyuta nikishangaa jinsi ushabiki wa mabaya yanayowakuta watu unavyoshangiliwa, asijikwae mtu ambaye jina lake limezoeleka katika jamii (mchungaji, mwanasiasa, mcheza sinema, nk) utaona watu wanavyo amka na kupata nguvu ya ziada kuchangia kutaka kumdidimiza kwa maneno hata kama wanajua wangekuwa "ndani ya viatu vyake" wangefanya aliyoyafanya huyo, au hawajui kilichomsukuma kufanya yale.... Mungu awabariki maana bado sijakutana na dini inayoshabikia usengenyaji wa aina hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom