Recent content by mtambo mlay

  1. M

    JamiiForums Tanzania Urgently please!

    Habarini za siku wanajamii fr?naomba msaada kwa yeyote ambaye anamwalimu yeyote anayemfahamu anayefundisha katika shule ya lindi secondary anipatie namba zake na kihororo sec school iliyoko bukoba pia au kama wewe unafundisha katika shule hizi mkuu nifahamishe.kuna machalii zangu wamepangiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kwa diwani

    Jamani wanajamii forum naomba kujua utaratibu gani unatumika kumuondoa diwani kama hafanyi kazi zake ipasavyo?wanakijiji hawamtaki ila hawajui waanze wapi na nani aanze kumfunga paka kengele
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya information technology (it)

    niko tayari kwa hilo nimeshakuemail unipe information ,Tupo pamoja mm niko mbezi beech
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya information technology (it)

    jamani wanajamii wa forum natafuta kazi yoyote ya IT kama networking installation,configuretion and maintenance,software development,knowledge ya PHP and Mysql,oracle,Linux na window server 2003,computer servicing and maintenan,database management.Kwa yeyote ambaye anaweza akanidirect anaweza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wote waliosoma SMMUCO

    Kutakuwa na meeting together kwa wale wanafunzi wa it waanzilishi wa chuo cha smmuco mwezi wa 12 lengo ni kuwajenga it wenzetu walioko chuoni na kuwaeleza hali ya soko la ajira nchini tanzania.wote mnakaribishwa waliomaliza kuanzia mwaka 2011 na 2012.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lwakatare amwekea DPP pingamizi

    mahakama ni chombo kinachohakikisha haki inapatikana mm sina mashaka na mahakama zetu ziko imara
Back
Top Bottom