Recent content by mtamaushi2

  1. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Nikajua jambo la maana kumbe ujinga ujinga tu
  2. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya Gen Z kupenda kuongea na simu mpaka usiku mnene ni kawaida au ni huyu wa kwangu tu?

    Analala na nani? Mnalala wote chumba kimoja au anachumba chake? Nyumba ina dari au haina? Tuanzie hapo
  3. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yalikufanyia nini hadi ukayaona hayana maana?

    Jina Eliza lilaniwe kabisaa, mbwa yule alinifanya niumie hadi nikisikia neno eliza linatajwa mahali nashtuka kama nina kifafa, mapenzi konyo saaana. Mbwa yule laana impate hukohuko aliko usukumani
  4. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishaurini usiku huu kuhusu huyu binti kabla hakujakucha

    Tusisumbuane bwana, wewe ndiye unayemjua vizuri, sisi hatuwezi kukuamria.
  5. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikimtumia message lazima anipigie

    Kuna jamaa yang hajui kusoma, Kila ukimtumia sms lazima akupigie. Nimekuja kujua Hilo baada ya kuambiwa na mshkaji wake.
  6. mtamaushi2

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kuuza duka la vifaa vya simu (Mwanza)

    Hi kwa kijna yoyote awe wakike au wa kiume mwaminifu aje PM. Kazi: kijana wa kuuza duka la vifaa vya simu, awe mwanza mjini Kama upo tayari njoo tuzungumze
  7. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

    Una jini kisirani
  8. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mnaokinai wapenzi wenu mna matatizo ya akili?

    Mtaachana tu
  9. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini mapenzi yana nguvu sana

    Kisheria hairuhusiwi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi iwe mnafanya ngono au hamfanyi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini mapenzi yana nguvu sana

    Utafungwa ww, kuna jela nyau ww Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tulio single tuweni makini na hili

    Kumbe upo single Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Pole mkuu na leo pia mmefungwa tena xYz07,
  13. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenifikisha hapa

    Msimamo wangu kwenye mapenzi: posses many women as you can but be smart hutapata stress za mapenz kamwe
  14. mtamaushi2

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mti huu ni aina gani?

    Bonge la dili huo mti, majani yake kuna namna ya kutengeneza badae unachanganya na chumvi na maji unasukutua na kutena huku ukitaja jina la mwanamke unaemtaka mara nne, hapo hata awe alikua hakutaki lazima akubali. Nakutafuta mkuu tutengeneze dawa hyo inalipa kinoma.
  15. mtamaushi2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh shemeji/wifi yenu bana!!

    Lipia tangazo mkuu flulanga,
Back
Top Bottom