Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Mkuu, umemshauri vizuri lakini ndo hana uwezo wa kujichanganya hasa na watu wa jinsia tofati, au hata hao watu atakao taka kujichanganya nao wao wanajichanganya na wanaume, so bado atakua bado hayuko comfortable.

Kwa upande mwingine suala la muhimu ni kumtafuta mtu amuaminie aongee nae yote ili ayatoe moyoni.

Mengine, omba sana kwa Mungu, fanya mazoezi, jihusishe na michezo na ikiwezekana jaribu soma vitabu.

Itakusaidia.
Huyo mtu anahitaji upendo, love will heal everything, ni kama vile anahisi dunia nzima inamchukia na amekosa kujiamini kabisa
 
Chanzo kiko ndani yako hivyo hata Tiba yake inabidi inafanyike kuanzia ndani.

Tafuta maarifa kupitia kujifunza Neno la Mungu regularly.

Kusudia kupata badiliko chanya.

Jione kuna kuna mambo huyajui na unakiu ya kuyajua.

Lipe Neno la Mungu nafasi ndani yako, lipokee, litafakari utaona mabadiliko chanya siku hadi siku chaya.
 
Upo 20's ndio shida hio ni kawaida.....ila hao wanataka kukugegeda be care tena zidisha kisirani wasisogee labda mi ndo future husband🤓🤓🤓
 
Sasa sisi tutakushauri nini bi mkubwa ilhali weye wajijua zaidi ya tukujuavyo?

Mwanamke kutongozwa ni suala la kawaida, na pengine huongezeka kama ukiwa wavutia sana au ukiwa mazingira wanaume ni wengi...
Msaidie kisaikolojia dakitare
 
Ovaries zako zimeiva zinataka ziguswe na manii....embu jishushe kubali upigwe bao siku ya ovaries kupevuka yaan siku ya mimba upigwe haswa then utakojoa Sanaa,mruhusu amwagie ndani then after that tumia pills zinazozuia mimba isitungwe ndani ya 72 hours.Utakaa sawa.(sawa maskini mimi ujiandae siku hiyo afu ukutane na asiyejiweza,naamini atadeki machoz)
 
You have traumatic events in your previous relationship, this is what fucks you, accept the situation, move on additionally, find a nigga to https://jamii.app/JFUserGuide you hardly ( i can help this) things will be okey
 
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....

Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.

Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.

Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.

Nifanye nini !?

Niliposoma kichwa cha habari tu nikajua sababu ni mahusiano kama ulivyoeleza
Ki uhalisia napitia the same situation na sijui cha kufanya pia
 
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....

Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.

Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.

Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.

Nifanye nini !?

Piga kitu cha Arusha,utakuja kunishukuru
 
Mimi naamini mpaka hapa vijana wa jf wameshajua nini cha kufanya, and possibly something under the carpet is cutting!
 
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....

Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.

Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.

Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.

Nifanye nini !?

Kapime HIV Mkuu,mara nyingi waathirika nasikia wanakuwa na hasira za mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom