Mapenzi yamenifikisha hapa

Mapenzi yamenifikisha hapa

Kila mtu atakushauri but omba ujitambue mapema. Ukifika 50+utaelewa maana ya Kila kitu. Wanaokushauri hivi na vile wote utawaelewa Ukifika hii stage
 
Unachanganyaje bangi na takataka nyingine wewe, ukivuta bangi pekee unasahau wanawake na kuwadharau
 
Pombe,Malaya,bangi siyo suluhuisho la tatizo lako, kubali kumwacha aende,

Kwanza unaonekana bado unampenda, sababu kitendo cha kuwa na namba yake tu ni udhibitisho tosha.

Lakini pia wewe hakuna gharama yoyote uliyotumia kwake hata kumsomesha, wapo wengie walisomesha wachumba tena kwa gharama kubwa na bado wakapigwa chini.

Tulia mkuu, maisha n hayahaya tu. Tafuta mke uoe achana na hao malaya maana mwisho wa siku n majuto makubwa na kuhangaisha ndugu zako.
 
Unajitesa tu bure Pole yako ," ukipanda mchicha usitarajie kuvuna mbaazi"
 
Mkuu ondoa hayo madude yote uliyoshikamana nayo. Baki na Bangi tu!
Ila usiitumie kama sehemu ya kuondolea stress bali kama dawa!
Bangi kwa mtu wa silka yake sio kitu sahihi, akijitahidi sana ataishi kwa miaka miwili tu kabla ya kuwa mwehu au kichaa kabisa. Tatizo sio mapenzi ni malezi yako ya kimama unashindwa kusimama kama mwanaume kisa mwanamke ndio uharibu maisha yako yaani unaishi kama panya tu, ishi maisha yako sio ujifiche fiche
 
Msimamo wangu kwenye mapenzi: posses many women as you can but be smart hutapata stress za mapenz kamwe
 
Back
Top Bottom