Recent content by mtama one

  1. mtama one

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

    Tembea uone braza
  2. mtama one

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

    Acha hiyo msumbiji komesha unapewa kijiti unakipiga pa kinageuka nyoka unamtuma nataka mil 5 fasta tu anakuletea masharti yake akileta ela lazima alambe uchi wa mkeo ndipo ukipige kirudi mti
  3. mtama one

    JamiiForums Tanzania Taratibu naiona Magic fm ikigeuka propaganda tunnel ya Serikali na CCM

    Sikiliza hicho kituo kwa maana ya magic fm na channel ten ni mali ya ccm na kama huamini juzi kapelekwa mkurugenzi tika TBc jaffery aniu pia mkuu wa nchi aliwapa mil 200 wanunulie camera kwa ajli ya live coverage Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mtama one

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wetu na weledi wao!

    Nami nimeskia hilo la TLC badala ya TLS Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mtama one

    JamiiForums Tanzania Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    Hawa nida ni.tatizo mimi nimekamilisha kila kitu mwaka jana mwezi wa 5 hadi leo ni bado njoo mwezi ujao Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mtama one

    JamiiForums Tanzania Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

    Kweli hiyo sehemu ipo inapatikana wilaya ya liwale na iko ndanj ya msitu wa selous ukifika karibu na eneo husika lazima ukutane na majaribu ama nyoka wakubwa au simba ukiweza kukabiliana na ofu hiyo umeshinda jaribio la kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mtama one

    JamiiForums Tanzania Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Kumbe ni ya cargo na passengers Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mtama one

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nina tatizo na nyie nmb yaani message alert ya pesa kwenye smu yangu mwezi acheni masihara nina tatizo nataka message alert kila pesa inapoingia kwenye acc yangu mwezi sasa form kibao nimejaza no action.taken
  9. mtama one

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Nenda mzinga morogoro
  10. mtama one

    JamiiForums Tanzania Sipendi kulala guest;

    Bado uko maeneo ya mirembe ??!
  11. mtama one

    JamiiForums Tanzania Sipendi kulala guest;

    Ni kweli amesema yuko mirembe na ile ni hospital ya rufaa
  12. mtama one

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Kitu nilichogundua kuwa hii ni.drama mo anaongea kana.kwamba kalazimishwa aangalii camera
  13. mtama one

    JamiiForums Tanzania Gari iliyomteka MO yakutwa imetelekezwa Gymkana

    Hapana jamani.namba zipo.kwenye.site mila
  14. mtama one

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Ameandika kitu gani huyu
  15. mtama one

    JamiiForums Tanzania Nihurumieni mwenzenu nakufa

    Anazingua mil 25 kirahisirahisi hivi unaomba msaada jf
Back
Top Bottom