Ila anaonekana Naibu waziri hajui health system ya US,anasikiliza juu juu bila kusoma in details kitu ambacho kwa Kiongozi hakipo sawa, ukizingatia anaongoza wizara inayoshabiliana na mambo hayo
Mengi ni Public figure kila anachofanya jamii iliyomzunguka inatakiwa kujifunza ubaya wake na uzuri wake kwa hiyo hiyo inampunguzia privacy right. Pili hata yeye kuna mambo yakimtokea binafsi huwa anaenda kwenye midea na kuelezea umma kama ni privacy si angeishia kumalizana na police tu.Tatu...
wewe jembe la KIGOMA,unaandika je mambo ya kusadikika humu ndani,tuambie vitu vyenye evidence na realiable source cyo bla bla na story za vijiweni.thatz a cheap politics.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.