Nenda shule utajua your empty (Selekale ndio nn)Mh....kwanini selekale hushindwa kesi jamani
Your empty ndoniniNenda shule utajua your empty (Selekale ndio nn)
Sifahamu alipo mkuuIvi rugemalira yuko wapi mkuu
Anakula bata AmericaSifahamu alipo mkuu
Kutokupatikana na hatia hakuuwi ukweli kuwa huyu bwana aligushi nyaraka. Kinachomlinda ni haki ya hakimi ya kutokujiachia shaka. Hata shaka ya kujitengenezea hakimu hupeleka faida kwa mtuhumiwa. Kama mtaalamu wa mandishi kaona gushi. Kasoro tu hakuna mtu wa kuthibitisha kuwa alimuona akigushi. Hivyo ufundi wa kisheria umemtoa mtuhumia na kuidhinisha makosa ya aina hii nchini Tanzania mpaka hapo mabadiliko yatakapofanyika kuondoa huo ujanja.Mtuhumiwa Gile aliyeshtakiwa kwa kughushi nyaraka na kuileta kampuni ya kitapeli ya kufua umeme ya Richmond ameishinda serikali mahakamani.Hukumu hiyo imetolewa jana ktk mahakama ya kisutu.Sourrce gazeti Nipashe.
My take: Sijui Mwakyembe atatuekeza nini tena kufuatia hukumu hii?