Umeongea jambo la maana na ukweli kabisa, eneo la Mjimwema, Sinda kwenda buyuni uvuvi wa mabomu umekithiri sana mchana kweupe hawana hata wasiwasi. Tunaomba kama wenye mamlaka wataona andiko hili wachukue hatua sahihi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.