Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

No passion to make sex, she is has many excuses

Rafiki yangu huyu ameniomba ushauri wa kindoa nami nikaona hapa JF kuna wake kwa waume wenye uzoefu na maturity yakumsaidia mawazo ushuri, vifungu vya bible etc. Ndoa hii ina miaka 4 watoto 2, wa mwisho ana mwaka mmoja na couples wote ni wafanyakazi jijin Dar ambao wana sign out kazini saa 11 jioni....

Hili ni tatizo linalo wapata sana wanaume siku hizi,na hili tatizo linaitwa early marrages,unapo oa mwanamke ambaye umekuzidi kipato na weight lazima akumbane na matatizo hayo maama mwanamke anakuwa anamchukulia kama mwanaume bado hajakua, and thers why mwanamke hadi anamuuliza maswali kama kwanini huwazi kutafuta pesa wewe unawaza sex.

Ndio maana inashuriwa uoe mwanamke ambaye umemzidi umri atleast five to 8 years na elimu uwe umemzidi hapo ndio uta enjoy ndoa yako,cha kumshauri ndugu yangu ni kuwa kazana upandishe kipato chako kwanza kiwe juu zaidi ya yake na be a dictator husband, swala la tendo la ndoa ni haki yako kwahiyo dont berg for it.

Mueleze kama hawezi kukupa unyumba ni bora aludi kwao maana aliolewa ili aprovide unyumba kwako any tym u need na ndio maana likaitwa tendi la ndoa,la mwisho ni kuwa lazima utambue ndoa ni taasisi na mume ndio mkurugenzi hence kuirekebisha ni wewe nyewe be a MAN and correct her, use every means ikiwezekana hata dictatorship ili ajue wewe ndio kichwa cha familia no matter how much she earn.
 
Hili ni tatizo linalo wapata sana wanaume siku hizi,na hili tatizo linaitwa early marrages,unapo oa mwanamke ambaye umekuzidi kipato na weight lazima akumbanw na matatizo hayo maama mwanamke anakuwa anamchukulia kama mwanaume bado hajakua,and thers why mwanamke hadi anamuuliza maswali kama kwanini huwazi kutafuta pesa wewe unawaza sex...

Maisha hayana formula.
 
Maisha hayana formula.

Ni tatizo ambalo watu wengi bado hawaja lijua,kitaalamu mtoto wa kike akizaliwa anakuwa na akiri kama ya mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili kwahiyo huwezi kufananisha iq ya mtoto wa kike na wa kiume,ndio maana uki date na mtu ambaye mna elimu sawa hata kama umempita miaka miwili lazima matatizo kwenye ndoa yatakuwa kila siku yanaongezeka kwasababu yule mwanamke mnakuwa hampo sawa kifikra na kutaalamu kakuzidi umri,for more info fanya research ndogo ya haya nayo kwambia then utaamini.
 
No passion to make sex, she is has many excuses

Rafiki yangu huyu ameniomba ushauri wa kindoa nami nikaona hapa JF kuna wake kwa waume wenye uzoefu na maturity yakumsaidia mawazo ushuri, vifungu vya bible etc. Ndoa hii ina miaka 4 watoto 2, wa mwisho ana mwaka mmoja na couples wote ni wafanyakazi jijin Dar ambao wana sign out kazini saa 11 jioni. Mume anaeleza kwamba tangu abalehe amekuwa muumini mzuri wa mafundisho ya Mungu jambo ambalo lilimfanya akajizuia kufanya ngono kwa kipindi cha ujana wake wote. Akakusanya nguvu zake ili aizitumie vema tena kihalali ndani ya ndoa, sex na mwanamke nje ya ndoa no hadi ndoa kwa mke wake tu. Aliingia katika ndoa na hamu kubwa na alimweleza mke mtarajiwa yote hayo na mke akakubali kwamba wakati ukifika atachoka mwenyewe( you will sex hadi uchoke mwenyewe) na hawaku-do hadi walipo oana. Ameingia katika ndoa hadithi zimekuwa tofauti.

Mke alipopata ujauzito wa kwanza miezi 2 tu baada ya harusi yao alianza mbwembwe zake. Mara sijisikii, mara nimechoka, mara kesho, kesho ikifika mara kesho tena, na wakati wa weekend anaweza pia kutoa sababu au kutafuta trip au kazi au kuanzisha zogo Fulani ili hamu yote iishee. Haya yote mume alivumilia akichukulia kwamba mimba hasa za kwanza zina mambo mambo mood swing, homon etc. kwa hiyo hapa akawa anapata sex japo kwa kubembembeleza na kulazimisha sana once per week. Rafiki yangu aliendelea kuwa mvumilivu na kuna wakati alikaa miezi 6 bila sex wakati mke alipopata mimba ya pili…mke kuna wakati alipewa bed rest ya siku kama 3 ndo ikawa mlango wa sababu kibao hadi jamaa baada ya mke kuendelea na kazi za akawa anajiuliza kama anaweza kwenda ofisin why she cant give her husband conjugal right. Nikamshauri wamwone gyno kwa ushuri, gyno/dr akawashauri wa-resume their sex haina shida. She is around 90kg of weight and husband is around 70kg, she is earning 4times salary zaidi ya mume wake.

She is hard working, beautiful, charming, business/money oriented (many business ideas). Mume ni God fearing man,handsome, hardworking, loving husband, melancholy kind of temperament, trustworthy, husband material. She is not taking sex as a serious issue in marriage kwani jamaa kuna kipindi mke alimwambia kwanini anawaza sana sex na hawazi sana kutafuta pesa na maendeleo.

Nilimuuliza jamaa kama anamtayarisha mke wake vema before sex, akasema: ana mwogesha mara kwa mara, kum-message/kumkanda, Maneno kama noney darking sweet ni kawaida kabisa, anamfulia hadi chupi, anampakulia msosi, maji ya kunywa , kupasi nguo kila leo, kumwendesha kwenda kazini na mke ndio mtumiaji mkubwa wa gari japo mume ndiye alinunua kwa ajili ya familia. Kwa siku chache hizo anazo bahatisha sex anamfikisha kileleni kama kawa.

Jamaa yangu anasema hii kutopata sex at least 3goal per week anakosa umakini kazini(poor concentration) hasira, loose temper, anaona mke wake hamjali au kujali sexual emotion za mume. Kuhusu eneo la kujali kuna wakati mume alikamatwa na police usiku for minor traffic offence akapelekwa hadi kituoni na kuwekwa ndani kwa masaa machache, alifanikiwa kumjulisha mkewe japo alipomalizana na police midnight hiyo alifika akakuta mke amelala. House gals ndo wafungue mlango, wamkaribishe baba na kumpokea, waandae chakula. Haya yote mume analalamika kwa mke wake kwamba sio vizuri kwa mke kuwaachia house gal every thing mwisho atafanya hgal maala pa kupumzikia kama mama hataki kuchukua nafasi yake.

Mume amekuwa faithful sana ndani ya ndoa ila sasa anaona kama anakaribia kuingia kwenye kundi la wanaume wasio waaminifu ndani ya ndoa. Hamu yake ya ngono iko juu sana ila pakutolea hakuna japo mke yupo, hapendi kuachana wala talaka ila amekuwa vulnerable sana anaweza kutegeka kirahisi na wanawake wajanja na wanyatiaji wa ndoa za watu. Kabla hajaoa angeweza kusema shetani shindwa ila sasa inakuwa ngumu kukaa na mke ndani ya nyumba …anaona mapaja mazuri, kufua kizuri, wowowo laini, nywele nzuri ambazo anafaidi kwa kuona tuu…sex mke akipenda labda bao 1 au 2 kwa wiki baada ya Maneno makali toka kwa mke kwamba mume anawaza sana sex. No romantic life kwani hata busu mke hataki ,kushikwa kimahaba hataki. Mume anakosa sex, touching ya mke, kukandwa na mke Maneno yakumpa moyo kama pole kwa kazi hayapo japo mume akiyatoa wakati mwingine anakejeliwa na mke.

Huyu jamaa yangu anatamani kuhama chumba, au kwenda mbali masomoni au kazi mikoani au nje ya nchi mbali na mkewe ili asitamanishwe na uzuri wake. Furaha yake kubwa ni watoto wao ambao anawapenda sana na huduma ya kikanisa kwani ni mzee wa kanisa na hadi mchungaji alishaelezwa hii issue mke akakubali makosa ila after one week akarudi kulekule.

Ushauri wenu wajameni hii ndoa ipone na watoto wafurahie wazazi kuwa pamoja. Mwaga hapa au kwa kutumia email yangu ya prosperity93@gmail.com then nitamfowadia.





===============
MUHIMU: Soma hii thread pia - Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or
Mpe pole sana. Ila amwombe Mungu
 
Mimi nilishawahi kuwa na mwanamke kama huyo. Bahati nzuri au mbaya sikuwahi kuoana nae.

Nachoweza kusema,kuna watu kama hao. Nachoweza kufikiri kwa haraka haraka sidhani kama aatakuwa ana mtu mwingine nje,sema ni mtu ambaye anachukulia mambo hasa mahusiano na wewe powa tu.

Kwanza ana kipato zaidi yako mara nne na mambo mengi hio pia ni sababu tosha ya kuona amejitosheleza,mume wake sio excitement bali mali na kipato chake ndio muhimu zaidi.

Pia inaweza kuwa low sex drive ambayo ni common to many women and men. Unaweza kuangalia hio kwa daktaree.

Nachoweza kusema kuna watu kama hao ndio hapo kabla ya kuoa ungepiga hesabu na kuona kama anafaa. Naongea from experience hapa.
Labda nikudokeze huyu mwanamke niliyewahi kuwa nae,alikuwa hajali kama tumeongea siku nzima,
Akiwa na mjda wake ndio atakutafuta...
Akiwa na minyege zake na shida ndio ananitafuta. Na alishaniambia sex kwake sio kitu hajali sana wakati mmi naweza kufanya three different women in a day or week at given time.
So nachoweza kusema mimi high sex drive vs low sex drive sidhani kama naweza.. Ulitakiwa kujua hilo kabla ya kuoa.
 
Kwa kifupi sana. Huyo mwanamke hampendi kabisa huyo jamaa. Jamaa kaoa pata potea hapo. Keshafanywa zoba na hana kauli. Yani hapo ni muda tu umebaki jamaa atamkiwe "SIKUPENDI" na huyo mwanamke.
 
Daa! Jana nimetoka kuongea na mke wangu nikanwambi hua najilinit sana kwa wanawake wanaojirahisisha kwangu kulinda heshima but you don't care so kibinadamu nitashindwa coz sipati sex.. Ubaya sometime unalala bila nguo au bk pekee u mrembo sana then unanipiga kalenda natembea barabarani tempreture ikiwa juu je endapo atajipitisha nitamwacha!? Lakini so mchepukaji nahakika.
 
Ukioa wanawake kutoka Arusha sana sana ndio wana hyo utaskia unawaza sex tu ya kila siku tu na ukicheki unaweek ya tatu hujamgusa na siku ukimgusa unahakikisha amefika on point very bad.
 
Pole sana ndugu na mtihani huo.Upo wakati huyo mwanamke atakuwa na hamu sana lakini itakuwa too late maana utakuwa ufumbuzi umeshapatikana kwako.Nime exprience hiyo.Ila wanawake wengi wenye kipato kuliko mume wanadharau sana kwa waume zao ushauri wangu fanyakazi kwa bidii uwejuu yake atakuheshimu,sababu kama kipato chake ni mara 4 yako ni hatari sana,huweza hata kuhonga vijana wadogo akawa kamaliza huko huko.Ingawa uja eleza vizuri kama mkewo pia ni mcha Mungu wa kweli.
 
kuna jamaa yangu alinyimwa unyumba na mke kwa miaka 4,na vikao tukakaa..mwanamke anaulizwa kunatatizo anajibu hakuna..lakini mchezo ule ule akawa anendelea.tukafuatilia kama ana mtu nje hakuna.mpaka jamaa alipomwambia nakurudisha kwenu akafunga na vitu vyake vyote mke ndiyo akaanza kutoa unyumba..hapo utasema ni nini?
Hii kiboko aisee, miaka 4 nalala na K kitanda kimoja halafu nisiiguse???
Kweli kuna wanaume wana moyo, labda kama sihusiki na huduma yeyote walai!!!
 
Tendo la ndoa halifanywi tu pale mwanamme anapojisikia, mwanamke pia ana play a big role katika hili na dada zetu huwa wanatawaliwa sana na hisia. Siyo mwanamme unakuja nyumbani tu kutoka kwa nyumba ndogo kisha unadai tendo la ndoa hata mkeo haujakaa naye chini kumsalimu, kujuwa ana kitu gani kinamtatiza, wewe unadai tendo la ndoa, mwanamke gani zaidi ya changu doa atakayekukubali? Lazima kuwe na maelewano kati ya mke na mume ndipo hapo tendo la ndoa linanoga. Usitafute kisingizio cha kuwa na nyumba ndogo eti kwa kuwa umenyimwa tendo la ndoa na mkeo, kumbuka wanandoa hawajamiani kila kukicha, there's got to be a chemistry there. Mvumilie mkeo na akikuona ni mstaarab mtaishi kwa amani.
Huo uvumilivu mwishowe utaonekana coomer...We mwanamke anakazi ya kukupa excuses tu kila siku, anakukwepa tu unakuwa muelewa wee siku akikupa ni goli moja anajikuta kachoka!
Sahivi mwendo ni kubaka tu. Nikijiskia navuta goma kibishi atajua mwenyewe maana hio biashara ya kuridhishana sio muhimu tena.
 
Amakweli wanaume tumebaki wachache sana kwenye hii dunia....
Yaani hili swala ndio lakuomba ushauri....
Anyway......
Huu ni udhaifu mkubwa, tena wa kiwango cha mwendo wa dunia.
 
Amekosea kumuandaa mwnamke sio kumuogesha na kumpaka mafuta maskini i can see kaka hawez andaa shughuli kama.binie n.fundi s amueke saw mumewe kabla y mechi hebu wajaribu kutomasana sana hebu aje pm nimpe maujuzi
Tatizo unaeza kuta mwanamke hataki, yani anaona kama kero hata ukimgusa anaanza kubwata na hapo ndipo inapoboa zaidi...

Kinachofata unaona bora uchomeke hata kwa msaada wa mate ilimradi tu upate utelezi ndani ya dk.5 umeshakojoa zako unampa mgongo tu.

Hapo ushamchubua anabaki kukutukana kimoyo, wanawake ni watu wa ajabu sana yani. Ukiwaza mlivyoanza mapenzi pale hamjajuana vizuri zile sexual excitements na kukumiss kila saa, wivu wake ule. Ukaona mke ndio huyu ukaamua kumuweka ndani, moyo unabaki kufukuta kwa huzuni tu.
Nahisi ndio maana kuna watu wanatongoza wanawake wapya kila siku ili tu wainjoy ile kipindi ya peak katika mahusiano.
 
Huyo mama hana hamu ya sex na hapo ni kazi sana katika hiyo ndoa,haina maana mtu kuwa na mke mzuri halafu humfaidi .Ila nina hakika wangeanza mapenzi kabla ya ndoa wangejuana vizuri i see its too late and difficult to change the woman for now.
 
HIV inawezeka kweli mume na mke mpo kwenye mahusiano mazuri mnacheka mnakula pamoja mnapanga mipango yenu vzr
Msigusane kweliiii

HV hzo stor nk mnaongelea wapi???????

Mahusiano mazur ni zaid ya tendo landoa

Tendo LA ndoa ni matokeo ya mahusiano mazur ya wanandoa

Sio unatoka huko umenuna au umelewa halafu utake kuingza mdudu wako.....nani anataka!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom