Nimebaki kuwa mtazamaji katika suala la kuolewa

Nimebaki kuwa mtazamaji katika suala la kuolewa

Mkuu tupe mrejesho wa "Mkorea" wako............
Bado Mkuu natafakari nitawapa mrejesho vile mambo yatakavyoenda ila nashukuru mpaka sasa kwa comment za wadau mbambali maana zimenipa maangalizo, bila hivyo ningejikuta nachukua uamuzi ambao ungenisababishia matatizo.
 
hahahahahaha
kuwa mpole,wa kwako bado anakuja
 
tafuta mzungu dadangu.

Hawa wa huku ni hopeless. kungekuwa Hamna wanaume modeli nyingine duniani mbadala na wa huku na mimi ningekata shauri kama lako.

😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe...haya huyo mzungu si ndo mpaka uwe na exposure ya kutosha au hata huku kwetu kwa mnyamani wanapatikana na mimi nichangamke?
 
Na hii baridi sasa, namsubiri mme wangu kwa hamu ntamkumbatia hadi akimbie
Mkuu,
Apambane kuja uje umkumbatie tu? Dah huyu mwanamke mwezio hajui utamu wa ndoa huyu. Haki ya nani ndoa ni tamu!!!
 
Katika suala la kuolewa nimekubali kucheza kwenye harusi za mwenzangu na nimeamua kubaki kuwa mtazamaji kwetu wakinichoka nitaenda kupanga niendelee na maisha.

Nitawatazama tu wanawake wenzangu na ndoa zao.

Nimeamua kutoka moyoni kabisa kiroho safi kulala na mwanaume mpaka asubuhi kwenye maisha yangu No!
Nyani Jike mcheki Nyani ngabu pengine mtaendana nyani wawili nyinyi[emoji51] [emoji87] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom