Recent content by mtAkI360

  1. mtAkI360

    Ni lini 'smartphones' ziliingia soko la Tanzania?

    Sina swali mkuu[emoji120][emoji135] over
  2. mtAkI360

    Msaada. DVD WRITER

    Umeandikwa RW.
  3. mtAkI360

    Msaada. DVD WRITER

    Nina Mlango wa dvd writer nikiweka cd yenye kitu inasoma vizuri lakini nikiweka empty cd inasema insect CD (haionekani kabisa). Msaada plz tatizo ni nini?
  4. mtAkI360

    Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

    Mkuu umewezaje kuongeza android version hapo... nina simu kama hiyo na nimisha iroot ila kuongeza version inanisumbua sana
  5. mtAkI360

    Fusra: kupata pesa nyingi kwa muda mfupi.

    ndungu wana jamvi leo nimeona nitoa fursa hii kwa anayependa kufanya kazi ambayo utampatia kipato kikubwa kwa muda mfupi... Mm nipo kigoma kikazi... ktk kuishi kwangu huku niliona watu wakijishughulisha na utengenezaji wa sabuni zinazofahamika kwa jina la kigwanji(sabuni za kigoma) Hizi...
  6. mtAkI360

    Msaada: key pin ya pinacle ult 18 na adobe cs6

    Naomba msaada wa serial number ya pinacle ultimate 18 na adobe collection cs6... ambaye anazo naomba anisaidie plz.
  7. mtAkI360

    Hakuna simu itakayozimwa leo

    Kiki.... lengo ni kitusahaulisha bei ya sukar tuwaze simu tyu.
  8. mtAkI360

    Wataalamu wa ku upgrade android version

    Custom rom ndio ikoje hiyo
  9. mtAkI360

    Wataalamu wa ku upgrade android version

    Mkuu samsung s3 ver 4.3 jealb nitawezaje kuupgrad ver hadi lollipop au marsh....
  10. mtAkI360

    NACTE Guide Book 2015/16 for Teachers Education Programme

    poa Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  11. mtAkI360

    NACTE Guide Book 2015/16 for Teachers Education Programme

    quide book 2015/2016 ninayo najaribu ku upload hapa inagoma... sasa labda unitumie email yako nikutumie sasa hv
  12. mtAkI360

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Kwa busara ya Dr slaa hawezi kurudi tena CCM kwa sababu ya mfumo mbaya wa CCM bora aende Act akaungane na wazalendo waijenge nchi yetu.
Back
Top Bottom