mtAkI360
Member
- Nov 10, 2014
- 96
- 22
ndungu wana jamvi leo nimeona nitoa fursa hii kwa anayependa kufanya kazi ambayo utampatia kipato kikubwa kwa muda mfupi...
Mm nipo kigoma kikazi... ktk kuishi kwangu huku niliona watu wakijishughulisha na utengenezaji wa sabuni zinazofahamika kwa jina la kigwanji(sabuni za kigoma)
Hizi sabuni zinatengenezwa kwa njia ya asili hivyo hazina mchanganyiko mwingi wa kemikali ambazo zinaweza kumletea mtu madhara kiafya...
Watu wengi huzipenda kwa ajili ya matumizi mbali mbali mfn. Kuoshea vyombo, kufulia, kuogea na haswa hupendwa sana na kina dada kwa ajili ya kuogea na pia kupaka usoni nyakati za usiku kwa sababu sabuni hii hukausha mafuta ambayo yapo juu ya ngozi na kuufanya uso uwe laini na nyororo. Pia huondoa chunusi kwa haraka sana.. hivyo soko la sabuni hizi ni kubwa sana hapa nchini..
Hizi sabuni huuzwa kwa mche au kipande, mfano mtaji wa 360000. mche mmoja kwa yule aliyopo mikoani hununua sh. 1800. Yeye huuza 2000.. hivyo kwa kila mche hupata faida ya shilingi 200.. katoni moja hukaa miche 20. mfano kwa siku akiuza katoni 10 hupata 40000 kwa siku ambayo kwa mwezi huingiza tsh. 1,200,000/= (milioni moja na laki mbili) faida hupata 840000. hiyo pesa huweza kuingiza hata ukiwa nyumbani kama watu wakizoea bidhaa hiyo hupatikana kwako.
Lengo la kuandika hili ni kutoa fursa kwa watanzania wenzangu kwa anayehita kufanya biashara na mimi ambaye nitakua namtumia mzigo popote alipo yeye anauza tu.
Amabaye yupo tayari namba yangu ni 0766755449 au 0712147610 karibu sana.