Recent content by mtakatifu wa 2

  1. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

    Hela za mama samia kila mtu anazitaka ni kujiposition tu.😂😂
  2. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Ni Jumamosi nyingine, siku nyingine wanaume wapumbavu kwa gharama wanaoa wanawake waliotumika

    Injili imenyooka kama ruler asietaka kuelewa ni shida zake.
  3. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

    Kaole sanaa group??
  4. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Nimeingizwa chaka

    Mtu amekwambia atakipigia asa wewe unampigia kwanini?? Usione kimya Dada yupo anakupambania ili na wewe upate kidogo, ni vile tu ratiba zimeingiliana. Ungetuma posho kidogo kuharakisha mchakato saa hii mama ingekuwa imeshakutafuta upo unaizaba mali.
  5. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Usimkatie mtu tamaa. Ilo kopo litakufaa siku moja, umuhimu wa ilo kopo utaonekana pale ukiwa na haja. ata dadayo aliona umuhimu wa ilo kopo ata akakubali kuingia nalo faraghani, Tena lilimpa vitu ambavyo wewe huwezi kumpa. "Mtu sio nyau" in Dotto Magari's voice
  6. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

    Siendi. Ninachojua Masisiemu yanawatumia polisi kama chombo chao kuvukuga demokrasia ya nchi.
  7. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Mtu akikutukana, usimrudishie tusi -Aliyetuumba ameonyesha mfano

    Kama kuna Baba basi na mama lazima awepo, si ndio?? Mungu ni mmoja tu ambaye alijidhihilisha kwa namna ya mwili kama Yesu kristo.
  8. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

    Kila mtanzania anawaza na kuwazua jinsi gani atapata Gepu apige pesa lundo aishi maisha ya ndoto zake. Kila anayepata nafasi ya uwakilishi katika kutenda kazi kwaajili ya watz wengine, anasahau majukumu yake ya msingi yaliyomuweka katika position iyo nae anaanza kutafuta magepu ajinufaishe yeye...
  9. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

    Ni nini asa sababu ya kukamatwa kwake?? Au ni uoga tu wa masisiemu jinsi anavyo jaza nyomi na kusepa na kijiji bila promotion wala kupeleka wasanii? #NoReformNoElection
  10. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Nauliza mbinu za kumuacha mwanamke aliyekuganda

    Kwanza punguza mawasiliano yaliyopo kati yenu, kama mnatumiana messages na kupigiana simu mara kwa mara anza kupunguza hadi mara moja kwa siku au msiwaliane kabisa. ukisha ona attachment kati yenu imepungua na yeye ameweza kuishi bila kuwasiliana na wewe, then mwambie tu ukweli kwamba huna tena...
  11. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    je muwekezaji atabeba risks na losses endapo zitajitokeza ndani ya iyo miaka miwili?? au yeye atasubiri gawio tu no matter the circumstances?? Na endapo hisa zikapanda thamani, mtakubali kuuziwa kwa bei ya wakati huo??
  12. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Namtaka chibaba, sitaki kijana

    Ipo hivi; Wanawake wanataka wababa kwasababu kipato cha wababa kipo stable, kwahiyo anakuwa na uhakika wa kutatuliwa shida ndogondogo. Wanaume(wababa) nao pia wanapenda mabinti wadogo sababu kipato cha hao mabinti kinakuwa bado hakieleweki, so inakuwa rahisi kuwatawala. Majobless in our 20s...
  13. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    mimi naamini akifuatwa kwa namna sahihi akakalishwa chini bila kulahumiwa kwa anayoyafanya apo nyumbani atawasikiliza tu. Tatizo anahisi mnataka mumfukuze apo nyumbani ndiomaana anapandisha na kuwa mkali, ata ungekuwa wewe kwenye viatu vyake lazima ungekuwa mkali tu. Huyo kwenye maongezi...
  14. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    ukubali ukatae bongo wengi wa hao wasakolojia na sijui therapist ni waganga njaa tu hamna kitu.
  15. mtakatifu wa 2

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    Huyo kachanganyikiwa na maisha na anahitaji msaada wa haraka, anatakiwa apelekwe kwa msaikolojia sema ndio hivyo bongo wasaikolojia wa mchongo. Inaonekana alikuwa na matarajio mengi kwenye maisha, lakini mambo yamemuendea mlama na kupelekea kijiingiza kwenye ulevi na mibange. Msaada mnaoweza...
Back
Top Bottom