mtakatifu wa 2
Member
- Apr 15, 2022
- 37
- 96
Mtu amekwambia atakipigia asa wewe unampigia kwanini??Baada ya kuachana na aliye kuwa mke wangu nilitafuta mpenzi ambaye nimekua naye kwa miezi miwili sasa. Leo tulikubariana tuonane nimemtafuta saa tano akasema nisubiri mda sio mrefu atanipigia simu, mpaka mda huu bado nasubiri simu yake, nimejaribu kumpigia simu haipokelewi, mda huu nipo tu kwenye paso yangu nasubiri zamu yangu, wanawake shikamoni
Usione kimya Dada yupo anakupambania ili na wewe upate kidogo, ni vile tu ratiba zimeingiliana.
Ungetuma posho kidogo kuharakisha mchakato saa hii mama ingekuwa imeshakutafuta upo unaizaba mali.