Recent content by MTAKATIF

  1. M

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Huyu mzee kafilisika kabisa kimawazo, ana tapa tapa tu mithili ya mfa maji kwani anaona jinzi ambavyo anguko la ccm lilivyokaribia.Badala ya kuwaza afanye nini ili wizara yake ifanikiwe zaidi,anabakia kuiwaza tu chadema.AMA KWELI CHADEMA INAWANYIMA USINGINGIZI na bado mtakesha sana mkiiwaza...
  2. M

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Mh. Zitto umefanya vyema kuomba radhi na umeanza kurudisha tena hadhi yako tena ktk chama na taifa kwa ujumla,umeonesha ujasiri mkubwa na hali ya unyenyekevu kwani kuomba radhi huwa zoezi jepesi kwa watu wengi.Tuanze upya mwaka tujenge chama chetu.HERI YA MWAKA MPYA.
  3. M

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    Hapakuwa na sababu wala umuhimu wa kufanya sherehe kubwa kiasi hicho,angetangaza tu akiwa hata mwenyewe pale anapotoleaga hotuba zake, umuhimu ulikuwa tu kwenye mchakato.MATUMIZI MABOVU HAYA.Ole wao watu hawa kwa maana siku zao za ulaji zinahesabika.
  4. M

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Safari njema Mr Deo! Tuachie chama chetu,naomba uwashawishi na wenzako wasaliti ili wakufuate nyuma.VERY GOOD.
  5. M

    "Nimezawadiwa Bikra Mwaka Mpya 2013"

    Loh! Sawa kaka kazi njema,unanikumbusha mbali,mimi nina uzoefu wa kutoa bikra mabinti watano,ila namshukuru Mungu huyo wa tano ndiye mke wangu na tuna mtoto mmoja.
  6. M

    "Nimezawadiwa Bikra Mwaka Mpya 2013"

    Loh! kazi njema kaka! Unanikumbusha mbali sana kwani nina uzoefu wa kutosha na zoezi hilo,nimetoa bikra za mabinti watano na ninamshukuru Mungu huyo watano ni mke wangu kwa sasa na tuna mtoto mmoja.
  7. M

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    EE MUNGU NA UIREHEMU NCHI HII,Mungu anataka ajidhihirishe wakati huu kati ya watu ili watu wajue ni Mungu yupi anayeishi kati ya Mungu wa Eliya au mungu wa mabaali.
  8. M

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Makamanda wenzagu wa Chadema msife moyo,ili chama kiimarike zaidi lazima minyukano kama hii iwepo,mwishowe tutajua nani ndiye mbaya na hatimaye hatua stahiki zitachukuliwa juu yake.
  9. M

    Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

    Mh! Zitto siyo lazima uwe rahisi,kazi uliyofanya mpaka sasa ni kubwa tu,kaa utulie ulinde heshima yako,achana na mambo ya usaliti,TUJENGE CHAMA KAKA cha Chadema ili tulete ukombozi wa kweli.
  10. M

    PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

    Nipo njiani kwenda Arusha kusheherekea ukombozi wetu,don give up my people,lazima kieleweke.
  11. M

    Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

    Ama kweli! hao wanaoing'ang'ania ccm lazima wana maslahi binafsi so ni vigumu mno kulikubali vuguvugu hili la mapinduzi,tusiwasikilize.
  12. M

    Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

    Ama kweli! hao wanaoing'ang'ania ccm lazima wana maslahi binafsi so ni vigumu mno kulikubali vuguvugu hili la mapinduzi,tusiwasikilize.
  13. M

    Hisia za wananchi wa Jimbo la Arusha (M), muda mfupi baada ya Lema kushinda rufaa

    Hongera kamanda Lema,tuko pamoja sana ktk safari hii ya ukombozi.
  14. M

    VIJANA wa CHADEMA Mwanza waja juu, wasema watakilinda chama, viongozi wao

    Habari ya leo wana Jf.nitumie nafasi kumshukuru Mwenyekiti BAVICHA mwanza kwa ufafanuzi mzuri alioutoa,vijana wale wasaliti wadhibitiwe haraka iwezekanavyo,ikiwezekana wapigwe mawe.
  15. M

    CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    Dr Slaa ndiye kiongozi pekee atakayeleta mabadiliko ya kweli kwani tumeish naye,tunamwona na yupo miongoni mwetu,hana woga,ni mchambuzi wa mambo,hakurupuki,hakika udaktari wake siyo wa Madesa au wa kupewa kama wa akina mjomba na baadhi ya mawaziri wake.
Back
Top Bottom