Recent content by mtafutano

  1. M

    Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

    Heri mwenzio Festo Sanga kawa msaidizi wa Mwigulu hata Marekani kafika, we utabaki kubwabwaja tu.
  2. M

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    Tuntemeke ninakupata freshi, na karibuni nitaakuanika hadharani, nitatoa CV yako fupi na Nyepesi unayemfanyia kazi. Nitawaaibisha karibuni
  3. M

    Nipo chuo kikuu ( MZUMBE ) Morogoro; Naombeni msaada kwa moyo mmoja

    Pole sana, Its a common psychological problem(stage fright, na unahitaji matibabu na kufundiswa skills za kufanya presentation. Sijui kama Morogoro kama kuna psychologists wanaoweza kukusaidia, ila kwa Dar, najua wako wengi kidogo, hata ukienda Muhimbili. Na kwa wale wote mnotumia ndumu ...
  4. M

    Dawa ya kucheat yanapatikana

    Labda utafiti unaendelea, nadhani wanaume wanacheat kuliko wanawake
  5. M

    HOW TO WIN a MAN'S HEART

    1. Don't be real, pretend for example if you are lazy pretend you are hard working. if you are married don't show your true colors. 2.Appreciate him-acknowledge his efforts, let him know he is the best 3.Let him play the lead-even if you got money more than him show that he is still in...
  6. M

    Dawa ya kucheat yanapatikana

    DAWA YA KUCHEAT IYO Wanasayansi wana mambo! Dawa ya kuzuia nyumba ndogo Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni, Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au kampuni hiyo ya ujereumani...
  7. M

    Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

Back
Top Bottom