Recent content by mtaftaukweli1

  1. M

    Natafuta mke wakuoa

    hapa utampata vip kama mkilingana elimu?
  2. M

    Natafuta mke wakuoa

    kama ana form four vip?
  3. M

    jamii ya namna hii ni hatari

    waasisi wa taifa letu ,walipata changamoto kubwa baada yauhuru,kwani baada ya uhuru watu waliweka vitendea kazi chini na kufurahia matunda ya uhuru, kazi sehemu mbalimbalim zikasimama ,maana watu walifikiri kufanya kazi ni utumwa, hiyo labda ni kwavile kipinudi kile cha ukoloni walifanya kazi...
  4. M

    Tanzania kwa jambo hili itanufaika

    wadau amani iwe nanyi, tanzania inacho takiwa kufanya ili ijikwamue katika kuwa nyuma ki uchumi na tekinolojia ni kuwa na uelekeo na kufahamu taifa lina enda wapi, kwa kufahamu hilo hata hoja na tafiti mbali mbali za wataalamu zita zingatiwa,umebaki kuwa ni wimbo eti kipindi cha miaka ya uhuru...
  5. M

    Utajiri wa Kamanda Barlow Unatisha! Soma hapa...

    ndugu zangu ,hali kama hii watu wa hali ya chini ni vigumu kupata halki yao pale wanapo pata matatizo ,kwani watakimbilia kwa nani? utaenda kumlalamikia mtu mwenye fedha kumbe ni wakala wa bosi mwenyewe? au unatoa taarifa ya tukio flani kumbe unaye mwambia anajua kila kitu hadi anatafta namna ya...
  6. M

    Emmy mwamgiga

    hapo hakuna hoja
  7. M

    watanzania wanasifa hizi?

    watanzania ivi ni kweli wanasifa hizi? ni wavivu, ila wanataka utajiri, hawtaki kujishughulisha, wavivu wa kufikiri hadi wanadanganywa katika mikataba. hawapendi kusoma lakini kufaulu wanataka, mda wa kufanya kazi hawautumii ipasavyo sasa kwa namna hii watakuwa na maisha bora? na uchumi kukua...
  8. M

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    We we vipi? Kwa hiyo wewe unafurahia mauaji?
  9. M

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    UNA MAANA GANI? wauaji lazima watafutwe kwa nguvu zote lazima watapatikana tu.Tanzania tunayoitaka siyo hiyo. nchi yetu ni ya amani LEO NIOKWA KAMANDA kumbuka kesho ya weza kuwa ni wewe.sasa kwa tanzania hali hiyo hatuitaki R I P KAMANDA.
  10. M

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    R I P kamanda ,jeshi lifanye utafiti mpaka wauaji wapatikane.hao wauaji hawafai katika ulimwengu ulio strabika pia mambo kama hayoyakemewe kwa nguvu zote. NCHI YETU NI YA AMANI.
  11. M

    Ripoti ya Kifo cha Mwangosi

    riport imejibu kile kilichoitwa hadidu za rejea, lakini haikujibu na wala kutoa mwelekeo wa kulaani na hatimaye kumfikisha mbele ya haki muuaji, sasa umefika mwakati tume ikiundwa iwe huru na si kupangiwa cha kufanya kwa kufumba eti ni" hadidu za rejea" kwa utaratibu huu tume haikuwa huru ndo...
  12. M

    pole ndugu mwangosi

    kwa hali ya sasa serikali ina zidi kuchefua wanainchi wazalendo na wapendahaki wote dunian, mbaya zaidi wanaojidai kuwa wana shikilia dola wanapoamua KUFANYA lolote bila kujali wenzao.Ivi wanapoamua kuficha hata mambo ya wazi wanaelekea wapi hasa? pole Mwangosi kwa yalokupata ulipokuwa nasi hapa...
  13. M

    Ripoti ya Kifo cha Mwangosi

    jaman mimi riport ya kumtesa ulimboka ckuipata,au bado haikutolewa? naomba aliyenayo anisaidie ili nami nifahamu aliyemteka
  14. M

    somo la hisabati liangiwe

    hapana usimkatishe tamaa amepata ,that question is solvable na hiyo ndo solution yake
Back
Top Bottom