Recent content by mtafiti05

  1. mtafiti05

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Chanzo cha taarfa ni ITV SAA mbili usiku, Aliye na masharti waliyoyatoa atuwekee tuone kama sifa znakubali!
  2. mtafiti05

    Serikali ipige marufuku kusambaza baadhi ya kauli za Rais

    Kwani alitamka au hakutamka? Sasa kama alipotamka shda ipo wapi kunukuu?
  3. mtafiti05

    Tuliozaliwa Mwezi September uzi wetu huu special

    18/09 Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
  4. mtafiti05

    Yupi ni hatari?: Cheti feki cha sekondari cha chuo halali VS Cheti halali sekondari cha chuo feki

    Acha kupotosha umma, kwenye ufake wowote hakna kinachofanyika nafuu! Wawe halali ndo Anko magu anachotaka, Pia usijfanye msemaji wa serikali ktk Ajira, darasa 7, form 4 kuna Ajira zao serikalini nasio unavyosema kuwa hakuna Ajira serkalini! Kama umefoji kimojawapo rudi shule au chuo ukasome...
  5. mtafiti05

    Yupi ni hatari?: Cheti feki cha sekondari cha chuo halali VS Cheti halali sekondari cha chuo feki

    Acha kupotosha umma, kwenye ufake wowote hakna kinachofanyika nafuu! Wawe halali ndo Anko magu anachotaka, Pia usijfanye msemaji wa serikali ktk Ajira, darasa 7, form 4 kuna Ajira zao serikalini nasio unavyosema kuwa hakuna Ajira serkalini! Kama umefoji kimojawapo rudi shule au chuo ukasome...
  6. mtafiti05

    Wasomi tunatia aibu kulalamika kuwa serikali imesitisha ajira

    Watu wengine akli zenu za kifala kweli, Ajira ni haki ya VIJANA au watanzania we unafkr wote waktumia ujuzi ndo watatoa tatzo la Ajira? Elimu ya Tanzania toka upate Uhuru unaona ni ya kumwezesha msomi kujiajiri? Hii Elimu inamuandaa msomi kuajiriwa, hao baba zako wambie wabadli mifumo ya Elimu...
  7. mtafiti05

    Ndo tumefikia hapa! Magu wape kazi vijana

    Anko Magu bado ananyoosha nchi! Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
  8. mtafiti05

    Upi umri sahihi wa kuondoka nyumbani kwa kijana?

    Kijana uliefksha 25yrs na bado upo kwenu jtafakali! Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
  9. mtafiti05

    Kusalitiwa

    Kama wamekulana PGA chn au ukubali mle wote na jamaa, mm npo na jiran Yangu alimfuma mke wake na jamaa na akakiri mwanamke kuwa kweli na hatardia tena lakn jamaa aktoka yule jamaa anakula mzgo kama kawaida tena ndani kwake, Juz kati kaliwa chocho tena Mme yupo kaenda kuoga tu kumbe mwanamke...
  10. mtafiti05

    Mishahara ya rais na wabunge yapunguzwa Kenya

    Hapa kwetu wakubwa ndo wanakula mema ya nchi hafu huku chini ndo wanabaniwa matumiz na kupunguziwa mshahara, Ukitaka kuona kama hapa bongo ni ufisadi toa hoja ya kutoa posho za wabunge uone wanavyopinga vikali, lakn posho za walimu kutolewa wanaunga mkono! Bongo bdo sana! Sent from my VF695...
  11. mtafiti05

    Msambwanda ni furaha ya macho tu

    Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
  12. mtafiti05

    Msambwanda ni furaha ya macho tu

    Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
  13. mtafiti05

    2020 Mh. Rais JPM aendelee sbb he is the best President ever, kura ya nini? He is REAL..!

    Fanya uwaambie familia yako mkuu maana sisi hatna akili kama zako, ss tunafata katba inasenaje hayo mengine naona unawashwa tu, akshnda ataendelea akishndwa aende chato kupumzka au uje umuachie familia yako aiongoze maana yaonekana ww imekushnda! Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom