Hata CCM wamsimamishe nani, hakuna mtu wakusimama na Lema kwa Arusha Mjini! CDM wasikate rufaa wala nini. Kaka Lusinde, Kuna usemi usemao "The parking spaces infront of bars are for the designated drivers, not the drinkers!" Kama kawa na Arusha mjini kakamue mulemule kama Arumelu tuone. CCM...