Recent content by mt2k2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wazoefu wa kusafirisha package nje ya nchi

    kama ukitumia huduma za shirika la posta tanzania ni vyema ukatumia EMS kwani gharama za EMS kwa Marekani ni ndogo kuliko Ordinary Parcel na unatakiwa kwenda kulipia Kibali katika ofisi ya mamlaka ya chakula na dawa TFDA. na ufike na huo Mzigo katika ofisi ya Posta ambayo ina afsa wa Custorms...
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    simanjiro unahitaji dodoma?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    kweli watu wanaotegemea urithi uki muiga utaadhirika mjini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa Mbatia, nani ataibuka kidedea?

    huyu mtoto namjua ngoja nimwonyeshe mzazi wake upuuzi wa mtoto wake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa training ya self defence

    tembelea maduka ya tanganyika arm's utapata silaha mbali mbali kama vile perpe spray nk kikubwa ni kibali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa training ya self defence

    shule za sanaa za kujilinda ziko nyingi inategemea sanaa unayo itaka na umbali kutoka mahali unapoishi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa jinsi ya kutafuta cm iliyo ibiwa

    pole sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa crdb bank vipi?

    P u p. Virus
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    1:The young and the restless 2:sunset beach
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu tabia ya mwajiri wangu

    sijui hawajaiona!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu tabia ya mwajiri wangu

    Poleni na majukumu ya kuelimishana. Mimi ni mgeni humu JF,nimepata msukumo kutokana na watu mbali mbali nilioona wanavyopata msaada humu JF Mimi ni mfanyakazi wa Taasisi moja iliyo chini ya Serikali.na kutoka nimeajiriwa sasa haipungui miaka minne. Mwajiri amekua akituhamasisha kusoma...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi humu jf

    Wajameni hodi naomba mnipokee!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usilalamike Huna Mtaji,Mtaji umeuweka Kiganjani Mwako.

    ahsante ushauri. mzuri sana!
Back
Top Bottom