mzungu jw
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 290
- 33
nataka kujilinda mwenyewe
nenda kajiunge na jkt ukitoka uko utakuwa powa
nataka kujilinda mwenyewe
Self defence ni elimu pana sana.ila kwa sasa jifunze kwanza mental self defence mpaka utakapopata mwalimu wa kukufunza. Haya elimu ndiyo hii. Epuka kufungulia mziki kwa sauti kubwa au kuacha malango wazi katika muda wa mchana kwani unashawishi vibaka, jitaidi kuzoeana na wakabaji na vibaka wa mtaani kwenu kwa kuchangia sherehe zao,mpira na hela ya singara kama unayo kwa kufanya hivyo unawafanya wawe walinzi wako hata upite usiku wa saa ngapi,jifunze kutumia silaha ya jad au kisasa barabara,
horeseshoe arch nini hiki
hahhaha mkuuu wewe
niliibiwa kwangu na ni vitu kibao vyenye thaman kama milion mbili afu ukicheki ndo naanza maisha mtu anakusafishia sebule mpaka leo haiiniingii akilini natamani bastola siwwz kukaa kuwangoja waje waibe tena japo nishaama ila naishi mwenyewe
selfdefenceproduct.com
usiogope hii ni mahususi kw kina dada once mnapovamiwa na hawa vijana wanaokukwapueni pochi zenu!
nenda kajiunge na jkt ukitoka uko utakuwa powa
Kama wewe ni mwanamke jitahidi sana kutumia saluni za maeneo hayo na maduka ya hapo pia hata kama unausafiri wako jitahidi kutumia usafiri wa umma ili usimame kwenye kituo cha daladala kwa muda mrefu kidogo ili uzoeleke na wapiga debe maana 90% ya wapiga debe ndiyo vibaka na wapagazi wa majambazi. Epuka kujifungia ndani maana usipojulikana na jamii inayokuzunguka lazima utatengwa tu na ni rahisi kufanyiwa jambo baya.
tembelea maduka ya tanganyika arm's utapata silaha mbali mbali kama vile perpe spray nk kikubwa ni kibali
manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence
BINAFSI nishawahi ibiwa watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop,simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao
Pili nishaama nilipokua nakaa lakini bado nina hofu je mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae sababu naishi mwenyewe bado
HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu ana mjua tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka
Asanteni
mimi ni karateka but kymfundisha mtu lazima kuna basic information toka kwake nataka nizijue ili kumpa ushauri sahihi na kama unaweza kufanya hayo matizi au laaaa
niliibiwa kwangu na ni vitu kibao vyenye thaman kama milion mbili afu ukicheki ndo naanza maisha mtu anakusafishia sebule mpaka leo haiiniingii akilini natamani bastola siwwz kukaa kuwangoja waje waibe tena japo nishaama ila naishi mwenyewe
Fika Russian Culture Jmosi saa tisa na nusu mchana. kuna Karate training bure. ukipenda utajiunga kwa darasa la malipo.
Ukifika Agha Khan Hospital ukiuliza tu Russian Culture utaelekezwa, ni kama mita 150 kutoka hapo. Ama unaweza kufuata mchoro huu wa maelezo.iko wapi hiyo mkuuu sehemu gani hapa dar
makarateka hawajisemi...............