Msema kweli na huongelei ya October 29
Msema kweli huongelei Ripoti ya CAG
Msema kweli huongelei viongozi kumiliki mali za ma billion
Msema kweli unachagua cha kuongelea
Nenda mahakama ya Mwanzo fungua kesi ya fumanizi
Andaa fumanizi
Muandae mwenyekiti na mjumbe waje washuhudie kama huyo jamaa tia ndani kesi mahakamani dai fidia ya ten M
Usiwe fala
Hiyo amani na umoja wa kitaifa
unaouzungumza tunao ,tunao tokea lini .Lakini hao wanaotaka kuharibu taswira ya nchi yetu ni wakina nani? Je si serikali ya chama cha mapinduzi.
Je tunachafuliwa au tunajichafua?
Mh Mwakyembe,Mzee Mangula nk waliwahi lishwa sumu je ni chama pinzani au chama tawala...
Hayo maandiko ya Agano la kale yote yanatabiri ujio wa Yesu.
Injili ya Yohana inatabiri ujio wa roho mtakatifu,
Ndio maana Yesu alipopaa aliwaambia mitume wasitoke Yerusalemu mpaka pale watakapopokea nguvu mpya"Roho Mtakatifu" na walipokea baada ya siku hamsini"50"
Mtume amekuja zaidi ya...
inategemea na katuni yenyewe
Mtu hushiba kwa njia tatu mpaka nne 1.Kwa Kusikia 2.Kwa kuona 3.Kwa kuhisi
Kama anacho angalia kinamfundisha upotofu ni lazima akili yake iwe inafikiri huko kila mara na mwsho inakuwa tabia
Hoja yako ya msingi kwenye andiko lako ni ipi?
Kwa mimi ninavyofahamu ni kuwa kichwa na hitimisho ndivyo vinavyobeva uhimara na uthabiti wa andiko,,kwenye andiko lako kichwa na hitimisho havina ushirika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.