Recent content by mswele

  1. mswele

    Changamoto ya Mtandao wa Tigo

    Umeelewa kwanini hiyo kitu imefananishwa na jina lao?huduma yao km jina la asili la hiyo kitu
  2. mswele

    Changamoto ya Mtandao wa Tigo

    Haha kabisa mara umeshinda milion 100 wakat unaiwaza elfu mbili yako walioichukua
  3. mswele

    Changamoto ya Mtandao wa Tigo

    Kwani kuna tigo ipi mkuu
  4. mswele

    Changamoto ya Mtandao wa Tigo

    Kaka huu mtandao wa mchongo na inaonekana wanae mtu serekalini wameshamshika tayari kwahyo hizi kelele zetu ni kuondoa stress tu lkn hamna kitakachofanyika
  5. mswele

    Changamoto ya Mtandao wa Tigo

    Nchi zingine sheria zao ungekuta tunavuta hela Kwa hii mitandao kosa dogo unavuta hela ndefu
  6. mswele

    Changamoto ya Mtandao wa Tigo

    Huu pia ni ushoga mtu unadhalilika km kifurushi hakijaungwa kwann utume msg Kwa mtu nliekua nampigia umwambie nilitaka kumpigia lkn sina salio km sio kudhalilishana
  7. mswele

    Changamoto ya Mtandao wa Tigo

    Habarini wakuu.. Kuna hilo Jambo ambalo lipo na limetokea Kwa wengi ambapo unajiunga kifurushi aidha Kwa tigopesa au salio unakatwa pesa tigo wanarudisha msg kuwa tayar wamekuunga halafu kumbe hawajakuuunga. Sasa inakuja pale unapotaka kupiga simu unaambiwa huna salio la kutosha mbaya zaidi...
  8. mswele

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mm betting kiukweli imeshanishinda yaani iko hivi siku unampiga muhindi fresh mikeka hata mitano hlf akianza kukupiga ww inazidi uliompiga kiufupi hasara nyingi kuliko faida pengine wenye bahati zao za kuweka matreni ya hela ndogo hlf wanapiga hela ndefu Ila Sisi wa team mbili au options mbili...
  9. mswele

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumm???ko mmisri hata goli moja umeshindwa subiria kupakuliwa
  10. mswele

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa wajinga wanapigwa Sana wameona wagome
  11. mswele

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    DKT BET. Huyu jamaa habaatishi jiungeni hapo anakwenda Kwa jina la dkt bet
  12. mswele

    Maonesho ya kazi za kishirikina

    Ila ww mkongwe najua uko na namna acha tupige moja ya jackpot tukitusua na ulozi tuna acha[emoji1787][emoji1787]
  13. mswele

    Dark days 17/03/20

    Inafahamika hivo kokote ila sema kweli basi mpk uje uuumbuliwe na CAG? KWANINI ALIKUA HATAKI CAG ATOE RIPOTI HADHARATI SABABU NI MWIZI
  14. mswele

    Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

    Basi sawa subirini ruzuku na muwapige porojo watz km kawa mpate wadau huko nje wawafidhili porojo zenu na hali mkijua kabisa hz ni porojo hatuna tuendapo
Back
Top Bottom