Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

Yes,tunataka contracts zinazoeleweka sio wizi,win win.That is what I hope Umoja Party will stand for.
Hakuna chama kitaingia madarakani bila kubadilishwa katiba iliopo mnapoteza muda wa wananchi au wafuasi mnaohitaji chadema mpaka sasa ishapoteza imani karibu robo ya wafuasi wao! Mmekuja with another party!! It's funny
 
Kwa hiyo ninyi mabeberu kutuibia ni ruksa,dah!Loons indeed.
Hao unao waita mabeberu let me tell you wanaibiana wenyewe kwa wenyewe pia huko makwao siasa na madaraka ni utajiri ukijua kucheza michezo hiiyo
 
Hao unao waita mabeberu let me tell you wanaibiana wenyewe kwa wenyewe pia huko makwao siasa na madaraka ni utajiri ukijua kucheza michezo hiiyo
Wewe inaelekea ni mtu mwovu sana.Kama unaweza kucheza ukawaibia Watanzania you are not worth living,shaba ni halali yako.No wonder mlimuona Magufuli ni mbaya,he was right to be rough on you.Okay,ndio maana Umoja Party has been proposed:to stop that evil,stop pinching of our resources and bring true development to our people.
 
Hakuna chama kitaingia madarakani bila kubadilishwa katiba iliopo mnapoteza muda wa wananchi au wafuasi mnaohitaji chadema mpaka sasa ishapoteza imani karibu robo ya wafuasi wao! Mmekuja with another party!! It's funny
Sio lazima katiba ibadilishwe kwa kuwa sio hitaji la kisheria,acha umbumbumbu.
 
Wewe inaelekea ni mtu mwovu sana.Kama unaweza kucheza ukawaibia Watanzania you are not worth living,shaba ni halali yako.No wonder mlimuona Magufuli ni mbaya,he was right to be rough on you.Okay,ndio maana Umoja Party has been proposed:to stop that evil,stop pinching of our resources and bring true development to our people.
Ustake kuniambia imani yko inasema magu hakuiba utanifanya nijute HATA kukuquote!
 
Sio lazima katiba ibadilishwe kwa kuwa sio hitaji la kisheria,acha umbumbumbu.
Basi sawa subirini ruzuku na muwapige porojo watz km kawa mpate wadau huko nje wawafidhili porojo zenu na hali mkijua kabisa hz ni porojo hatuna tuendapo
 
Ustake kuniambia imani yko inasema magu hakuiba utanifanya nijute HATA kukuquote!
Do not quote me,sipati lolote,infact I will be happy.You are so ignorant that you are not fit to be involved in any dialogue with me.
 
Basi sawa subirini ruzuku na muwapige porojo watz km kawa mpate wadau huko nje wawafidhili porojo zenu na hali mkijua kabisa hz ni porojo hatuna tuendapo
Chama hiki hakihitaji wafadhili kutoka nje,kwa kuwa sio chama cha wachumia tumbo,nia ni kutumikia Watanzania.
 
Nchi ya wachonga ngenga lakini wavivu kama Tanzania inahitaji mkono wa chuma wa dikteta kama Marehemu. Ndiyo maana hakuna nchi yoyote iliyoendelezwa na mtu mweusi bila kucharazwa bakora na mzungu...
 
Then nikuhakikishie huez kwepana na wazungu kwanza unawategemea Karib mamb meng.. budget kwa kias kikubwa tunawategemea wao, miradi ming tunawategemea wao, vitu vingi tu. Then how can you escape em? Unless otherwise ukubali kupigwa pin kimataifa halaf sasa hizo consequences tutahimili? Taifa changa kama Tanzania? Kikubwa ni kuishi kwa unafiki kwa mabeberu ili uendelee kujipanga, lkn kushindana nao itakula kwako mazima!! NB nchi zote masikini hakuna wa kupambana na mabeberu!!
Sasa Magufuli walim-mind ndio maana hakutoboa.Don nikupe kiashiria kidogo,and this is simple.Ukiona mabeberu wanapenda Rais wenu,ujue mnapigwa.Sasa Samia mabeberu wanampenda,kwa hiyo jibu unalo!
 
Alifia madarakani kwa kuwa aliwapenda wananchi wake upeo na aliadhimia kulinda resources za Watanzania na kwa hili mabeberu wakaona he was not worth living.Wamefanya hivyo kwa viongozi wengi Duniani,Magufuli sio exception.Walimuua Patrice Lumumba,Samora Machel,Gadafi,Sadam,Kennedy,Nkurunzinza nk.nk..

Ulishasema umefunga mjadala na mimi au umeona urudi kurusha ngumi hivyo hivyo hata kama hazina nguvu? Ni hivi hao viongozi uliowataja Magufuli hawafikii hata robo, yeye alikuwa ni mpenda sifa, mlevi wa madaraka na muumini wa maguvu akili kidogo. Isitoshe hii sio miaka ya kugombania uhuru toka kwa wakoloni. Alikuwa ni mshamba mwenye mitazamo ya karne iliyopita. Na kilichomuua ni kwakuwa alikuwa mjinga akaamua kupambana na Covid kwa ushirikina badala ya sayansi.
 
Hayati Mwalimu Nyerere
alisema upinzani wa kweli utatoka CCM!This is the time.
Labda ila hiko chama wala siamini kama ni chama pinzani.
Tusubiri tuone.

Na upinzani kushinda labda vyama viungane ila kuongeza vyama vipya wala hakutakua na ushindi wowote ndgu.
 
Labda ila hiko chama wala siamini kama ni chama pinzani.
Tusubiri tuone.

Na upinzani kushinda labda vyama viungane ila kuongeza vyama vipya wala hakutakua na ushindi wowote ndgu.
Kama kisipo-wekewa mizengwe,kukawa na a fair play ground na viongozi wazuri,hiki Chama kina uhakika wa kuingia Ikulu mkuu.Ni wazi sasa kwamba CCM haiwatakii Watanzania na nchi yetu mema.Viongozi ni wachumia tumbo proper, na kama yupo Mtanzania asiyeliona hili baada ya miaka 61 ya uhuru wa bandia na kudanganywa,basi huyo atakuwa kipofu na mjinga wa kutupa.It is now or never.
 
Sijawahi muona Beberu Tangu nizaliwe Tanzania kwa sababu nilizaliwa baada ya uhuru hivyo ukoloni na ubeberu sijawahi uona labda kidogo ukoloni uliibuka kipindi cha utawala wa awamu ya tano chini ya Kayafa mwendakuzimu.
Ipa watega, apa unadhihirisha kuwa kwenye kundi la wahuni na wewe umo.
 
Wonders zipi? Za kuteka watu na kuwaua. Na kujifanya yet ndio kila kitu? Wonders za watu wasiojulikana?
Kutekwa, kuuawa ilikua ni Enzi ya awamu ya tano tu? Vp ulimboka, mwangosi, wafanyabiashara ya Madini waliuwawa awamu ya tano?
Acheni propaganda za kutufanya kuwa hatujui mifumo ya serikali inafanyaje kazi.!
Mwisho: Hayati Dkt. John pombe Joseph magufuli alikuwa ni kiongozi bora kuliko yeyote kwa kipindi alichokua madarakani.
Na huo ndiyo ukweli kubali kataa itabaki hivyo.
 
Umenena vyema, chama la kuua watanzania! Chama litafanana na banyamulenge
Mwangosi na wale wafanyabiashara wa madini Moro aliwauwa yeye?
Acheni kuhadaa wananchi wakati hata nyie mna maovu mengi kuliko Rais Hayati magufuli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom