Du! Sasa mshikaji alikuwa hajawa na familia ya damu yake sasa katutoka hii balaaaaa kwa sisi vijana tusiyo na familia, ila hamna noma mungu amependa zaidi.
ninaingiwa hofu na majaji wa sasa ipo haja ya kuwafanyia interview kama kenya, katika hili tusubili pia hukumu kesi inayo endeshwa na majaji sumbawanga mjini kati ya chadema na ccm
Ungozi wa mkoa wa rukwa kwa kupitia halmashauri zake mpaka dakika hii bado zimewakopa wafanyakazi kwa kuto kuwalipa mshahara hususani sekta ya waalimu. Kimsingi kuto kumpa mtu mshahara na kukaa kimya pasipo taarifa yoyote nikumwingiza mtumishi katika wakati mgumu hususan kumuathiri...
Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Naibu Spika Job Ndugai limeteua kamati itakayosimamia kutatua mgomo wa madaktari unaoendelea hivi sasa. Mwenyekiti atakayeongoza kamati hiyo teule mama Sitta.
Je, uamuzi uliochukuliwa utakuwa ni suruhisho kwa mgomo huu wa wataalam hadhimu?
Wakuu wa kazi, binafsi naishauri serikali ifanye mafikilio katika kada nyingine pia kwani hii imekuwa too much mazingira ya kazi ni magumu kuliko ilivyo kawida. Sekta ya Afya ni nyeti pia hata elimu ambayo waalimu wamekuwa wajasiliamali katika katitka kuuza vishet na maandazi ili hali siku ziende.
Ninasikitika na mfumo huu wa sasa unaofanya nchi hii kuwa katika wakati mgumu kwa haya yanayotokea. Lakini naamin kwamba kila kipindi kina wakati wake acha uwanja huu uwe shamba la bibi, pia ipo siku watu watakuwa na yakujibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.