Uteuzi wa kamati ya Mama Sitta kusimamia na kutatua mgomo wa Madaktari Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi wa kamati ya Mama Sitta kusimamia na kutatua mgomo wa Madaktari Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MSWANGA, Feb 3, 2012.

 1. M

  MSWANGA Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Naibu Spika Job Ndugai limeteua kamati itakayosimamia kutatua mgomo wa madaktari unaoendelea hivi sasa. Mwenyekiti atakayeongoza kamati hiyo teule mama Sitta.

  Je, uamuzi uliochukuliwa utakuwa ni suruhisho kwa mgomo huu wa wataalam hadhimu?

   
 2. O

  OLEWAO Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Safi sana. Mama sita hawezi kuandaa ripoti bila mzee kuisoma na kuiedit, Dr Mponda kwisha!
   
 3. U

  UNIQUE Senior Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda kwa vile ni kamati lakini mama sita hana uwezo wa kusimamia swala nyeti kama hilo
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tupeni habari kamili wakuu ndiyo tunaingia hapa wajumbe ni akina nani ???
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naibu spika hajaunda kamati teule.Alichofanya suala la madaktari amelipeleka kwenye kamati ya huduma za jamii ambayo viongozi wake ni Mama Sita na Dr Ndungulile.Hii si kamati teule.
   
 6. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kuna Dr mwenzenu huko...Ndungulile
   
 7. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nani kakuambia 6 anamke mmoja sasaivi yupo bize na vimada yule jina tu
   
 8. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Nakuunga mkono mama ni legelege
   
 9. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Napita tu.
   
 10. J

  J_Calm Senior Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh! Sidhani!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dr ndugulile ni mtu w kumwangalia sana... Na kuna tuhuma kwamba ni hihi hii kamati iliyopitisha makadirio hovyo yenye makosa na kuna tuhuma za kubenefit through jairo principal.

  Labda wabadilike
   
 12. m

  msafi Senior Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mwkt wa kamati mama sita,makamu dr.andungulile, wajumbe ni dr.kigwangala, prof.maji marefu, maua daftari, ritha mlacha,
  Mrs.madabida, nyangwine na wengine. Kamati hii inaweza fanya kazi vizuri japo mama sita ana bifu na waziri na naibu wake, na anaiva sana na nyoni na mtasiwa, na mwkt ana kundi lake katika kamati, hivyo ni vyema madaktari wakawa makini sana
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  @ Mtoa mada huo utukufu wa bunge umetoka wapi?
   
 14. J

  Juma123 Senior Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  hilo nalo ni neno, yasemekana kuna undugu, wachunguzi wafuatilie
   
 15. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Bunge litarudi tena kwenye vikao vyake mwezi April na ile tume ya Mama Sita inayochunguza mtafaruku wa madaktari si inatakiwa irudishe report bungeni ili iweze kujadiliwa?

  Sasa napata wakati mgumu kujua hii tume itapeleka wapi report yake kama pale magogoni napata wasiwasi maana baba mwanaasha alishaamua kukaa kimya na kutoliongelea kabisa hili janga hata kuongea na wale wazee wake anaowaita wa dar hakuweza kufanya hivyo,wakipeleka wizarani huko ndo kabisa maana ni kama kesi ya nyani unampelekea ngedere wakati wote wala mahindi.

  Je itapelekwa kwa mtoto wa mkulima?la hasha alishindwa kufanya maamuzi magumu na kuonyesha dhahiri kumshambulia kiongozi wao Dr.Ulimboka ingawa baadae huyohuyo Dr.ulimboka aliweza kukaa naye meza moja na kuafikiana kumaliza mgomo

  Nawasilisha.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mambo ya nchi yetu ni vichekesho tupu...Decisions zetu ni Fire Brigade oriented!
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi walikuwa wanachunguza nini? Ninyi hamjui siasa za nchi hii. Wabunge walivamia tu ili waonekane wanafanya kazi ili wananchi wabariki posho zao. Siasa za nchi hii ni za kufuata upepo na kujitafutia vi umaarufu. Hakukuwa na haja ya kamati hapa. Bunge lingetoa tamko kwamba serikali haikushughulikia vyema suala la mgomo wa madaktari. Mgomo umeisha sasa repoti itasaidia nini. PM ameishasema vyombo vya habari vichunguze masuala kuhusu visiki wa Afya; repoti ya kamati itakuja na lipi jipya?
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  izo faya zenyewe zipo?
  bora ziitwe faya witness briged
   
 19. A

  Aaron JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,128
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  spika wa bunge anaridhalilisha taifa kwa misimamo yake isiyo na msingi.
   
Loading...