Recent content by mswakimbuyu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Looking for 3D animation colleges in DSM

    Wadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM). Vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha! NB:Kama ikiwezekana na hata approx ya ada na mengineyo Natanguliza shukran!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi waomba Bunge kumuongezea muda Rais Magufuli madarakani

    After all mwenyewe amesema anatamani hata mwakani ajiondekee:rejea hotuba yake akipokea ripoti ya makinikia part 2
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Dah! I thought they were untouchable.Duh huyu mzee ni kwikwi.Honestly mimi nilisha gave up!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi walio wengi weshagundua kuwa wabunge wengi wa CCM ni wanafiki wakubwa

    Ifike muda enough iwe enough cause tumekuwa wajinga kwa muda mreefu mpaka mungu katusaidia kumfanya yule mzee amrudie mungu na kumpa nguvu ya kuspeculate hiyo mikataba japo atapigwa vita
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi walio wengi weshagundua kuwa wabunge wengi wa CCM ni wanafiki wakubwa

    Tatizo mkuu Mystery watanzania ni wasahaulifu sana kuna madudu mengi yamepitishwa hapo bungeni.Fikiria fao la kujitoa kwenye mifuko ya jamii mpaka ufike miaka 55 wakati life span ya mtz ni 45-55 na kazi zenyewe ni temporary contracts,ikapitishwa tu kiaina aina.ukufuatilia kiukweli ni sheria...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Tutalipa gharama ya safari ya CEO wa Barrick

    Swala la makinikia limenifundisha jambo kubwa sana, wakati watu wanalivuta liweze kukidhi malengo na matakwa yao ya kisiasa, mimi nililichukua kama somo kibiashara nikalinganisha na shule anayoitoa mdau Ontario kwenye shule ya Forex nikashangaa sana kuona ujio wa huyu kabaila ulivyogeuza uelekeo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM tumuombe msamaha Kafulila, Tumeaibika!!!

    Dah Bi mkubwaaaaaa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimo

    Habari zenu wana JF! najitambulisha kwenu wakubwaaa! am proud to be here at last!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo mkopo

    Kama upo Dar fika tujijenge microfinance pale Tazara kk
  10. M

    JamiiForums Tanzania Am in

    Nashukuru sana wakubwa naomba ushirkiano wenu tafadhali.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Am in

    Hi! wana JF,nami nimo humu hatimaye, nipokeeni
Back
Top Bottom