Natoa ushauri kwa Lipumba na Maalim Seif.,kama ifuatavyo...kwa sasa ni vyema wakaangalia namna ya kutatua huu mgogoro ambao unatishia Amani ya nchi yetu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuuungane kupigana vita hii inapata nguvu kubwa sana kutoka makampuni ya kibeberu ya kunyonya Africa.yanaungana kutumaliza sasa basis.Silas yetu ni Umoja tu.Tukigawanyika watatuzidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ss ni watanzania tumeibiwa sana tuache utani.Kiukweli mahesabu hayo in sawa kabisa kwasababu kwa miaka kumi bila kulipa kodi staiki na faini zake ni sawa.Nionavyo mm inawezekana hata TRA.kuna vingine wameacha ,,,Tuache kujidharau namna hii.Wazungu wanatajirika na nchi zao kwa rasimali...
Jamani chonde chonde tusiwe na hasira na jambo hili serikali inaelewa wanachofanya haki itatenfeka tu msiwe na wasiwas.
Post sent using JamiiForums mobile app
Jamani ni road licence imefutwa.Hata waziri Mwigulu alipokuwa hapa singida alisema polisi wayachie magari yote yanayoshikiliwa kwa kutolipiwa R/s.Kwani Rais wetu anatujali ss Watu wanyonge.
Ninavyo fahamu eneo lilolimwa na mh.mbowe siyo kwenye chanzo cha MTO Weweru kama tunavyoaminishwa .Ila kilimo kimefanyika pembezoni mwa MTO weweri. Kwa maana hii sijaelewa bado ,,kwani waliolima kwenye mkondo no wengi mbona rungu ni kwa mmoja tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.