Ukiisoma vizuri ni kwamba, TRUMP amewadharau wamarekani zaidi kuliko anavyodhani kawadharau waafrica. Maana protocal za kiutawala wa marekani haumtambui mtoto wake kama msemaji kwa lolote. Vinginevyo angemwachia mshauri wake wa masuala ya Africa.
Lakini pia amewadharau zaidi waandaaji maana kama hakua na la kusema ilikuaje mkutano huo uakamwekea kiti ilihali alishaonyesha nia yake ya kutotaka kujadili maswala ya Africa.
Viongozi wa Africa wanaweza kujibu kwa kutomualika kuja kwenye nchi yeyote Africa kwa kipindi chake chote na pia kutoshiriki kwenye mkutano wowote atakaokuwepo. Mfano UN siku TRUMP anahutubia wote wanatoka nje.
Hapo ndipo heshima itarudi