Recent content by Msungu inv

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kisukari cha kushuka

    Kweli Elimu hii inatusaidia wengi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    Buretta aliiwezea sana Shule hiyo. Baada ya yeye kuondoka imekua ya vurugu vurugu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    Hii Shule tokea alipoondoka bureta na kundi lake haijatulia kabsaa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Kweli yako Poa sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tatu mzuka yazua gumzo Tanzania, Serikali yaombwa kuingilia kati suala hili yadaiwa eti ni matapeli

    Ninahisi ipo kisheria maana hata kodi wanalipa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Ukraine nimepata mchongo, naomba ushauri kwa wanaopajua vizuri

    Ukienda usisahau kupitia Libya .maana kama umepachoka bongo huko kutakufaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mollel: Kama Rais wa upinzani kamkubali Magufuli, nani mwingine aweza kumpinga?

    Naomba nitabiri kitu.kama Dr mollel atashinda huu uchaguzi before 2020 atakuwa naibu waziri ama waziri kamili.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Tokea enzi ya mama Dunda wanakula chakula na ni Shule pekee iliyokua na huo utaratibu tokea zamani wilaya nzima.wasimamizi Wa huo mpango Wa chakula watiwe moyo na sio kuwavunja moyo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Hiyo Shule wanao utaratibu mzuri Wa chakula cha wanafunzi tokea muda mrefu .na matokeo yao ni mazuri kila mwaka nadhani kama utaharibiwa huo utaratibu hasara nikwa watoto na familia zao.kikubwa utaratibu tu uwekwe vizuri na kuwe na muhtasari Wa vikao vya maafikiano na wazazi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

    Haswaaaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

    Jitahidi kufanya mambo positive kipindi hiki ili moyo utakavyokuwa normal uje ujipongeze.kuliko kuingia kwenye kunywa pombe kupita kiasi au kuwa jeuri.ongeza kusali, Fanya kazi sana, jichanganye na watu.kama unasoma soma sanaa. Au usitake kufuatilia habari zake kabsaa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

    Ulipoanza kukosea ni kumpenda ili kumsaidia.enewey huyo kaumbiwa kuteshwa ,keshazoea kushurutishwa huyo achana nae .ni kweli unaumia sana.jiweke kando japo utaumia sana ila itakua ni kwa kipindi tu.baadae utamuona Wa kawaida sana .utampata nyonga mkalia ini wako atakaethamini penzi lako.wengi...
Back
Top Bottom