Kisukari cha kushuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisukari cha kushuka

Discussion in 'JF Doctor' started by aloveragel, Feb 29, 2012.

 1. aloveragel

  aloveragel Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf naomba mnisaidie sukari imepungua mwilin hadi kufikia 4 hv ni vyakula gani natakiwa kuviepuke au natakiwa nizidishe vyakula vya sukari hli ipande nisaidien kwan hadi sasa nimechanganyika na inaweza kupona au plz help?
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pole mkuu nimeguswa ni kupe pole zangu.Kwa ushauri wa kimatibabu wenye kujua watakuja kukusaidia.Ila ninachojua kuna sindano za insulin huwa wanachomwagwa ila wakati upi inatumika ndo sijiu.Pole sana
   
 3. aloveragel

  aloveragel Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante na me nimepewa dawa nimeambiwa nikimaliza nikacheki na kama nikipata kdonda kitapona kwel
   
 4. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  junior,
  pole sana kwa kusumbuliwa na Diabities.
  kulingana na maelezo yako ni kwamba sukari yako ipo chini hivyo unatakiwa kula vinywaji vya sukari kama
  soda haswa fanta,mirinda
  kwa kawaida sukari normal ni kuanzia 5-7 ila pia inategemea umepima wakati gan
  maana kuna fasting( hii ni unapopima sukar asubuhi kabla hujala kitu chochote-mara nyingi hii inatakiwa kua ndogo au katika hiyo range niliyo kutajia) na random (hii ni mda wowote ukiwa tayari umekula chakula-kitu chochote-hii ndio unakuta kwa normal person inakwenda mpk 9) sasa pia kwa ushauri zaid muone daktari wa sugar maana kuna vituo kazi yao ni kupima tu na hawajui implication za hiyo sukar
   
 5. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Junior,
  sukari haiponi ila inawezekana kui control sana tu kwa kufanya mazoezi,kuhudhuria clinic,diate control
  sukari ikipanda sana pia sio nzuri
   
 6. aloveragel

  aloveragel Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwel nilipima asubuh ahsante kwa ushauri nitauzngatia ngoja niende tyme za mchana
   
 7. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Pole mkuu, kutokana na maelezo yako inamanisha kuwa sukari katika damu yako imepungua(hypoglacemia) .samahani kabla sijatoa ushauri wangu je una kisukari? Na kama unakisukari je unatumia dawa gani ? Maana tatizo linaweza kuwa Dawa ulizotumia kwa ajili ya kushusha sukari zi kashusha zaidi na kusababisha sukari kwenye damu kupungua. Kama unakisukari kuwa makini sana kwenye swala la chakula . Kwa sababu sukari yako imeshuka jaribu kwa haraka utumie glucose haraka . Ungekuwa hospita Ungepewa glucagun 1 mg au Dextrose infusion . Ila mkuu huo ugonjwa kama unatumia sindano za insulin kwa ajili ya kushusha sukari jaribu kuwa makini kwa upande wa chakula usizidishe sana sukari. Jaribu kuangari pia kama kweli ni kisukari cha kushuka kama ulivosema basi jitaidi utumie vyakula vywenye glucose kama ndizi,viazi, asali, etc
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Sindano ya insulin huwa inachomwa kwa watu wenye sukari iliyopanda sio iliyoshuka.
   
 9. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu nakumbuka study iliyofanywa Kati ya KCMC na Muhimbili normal blood sugar ranges from 3.5-6.5. Hivyo naweza kusema hiyo 4 aliyonayo inaweza kuwa normal au Kama anapata dalili zozote za kuwa na sukari chini ambazo sijaona akitaja

   
 10. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana

  Usiwaze sana na ondoa uwoga. Unachotakiwa ni kufuata ushauri wa daktari na kutimiza masharti yake basi mambo yataenda vizuri. Ukiwa na stress basi hali itakuwa mbaya.

  Kwa uelewa wangu mdogo, insulin kwako inafanya kazi kama kawaida, maana insulin inasaidia kuchukua glucose/sukari katika damu na kuisambaza kwa viungo vingine vinavyohitaji kwa ajili ya energy, na pia kuitunza ndio maana sukari inashuka kwenye damu. Tatizo inaweza kuwa hormone nyingine inaitwa glucagon ambayo inasaidia kuchochea ini kusambaza sukari kwenye damu.

  Hivyo usiwe na wasiwasi na kidonda labda ingekuwa ile ya kupanda. Fanya mazoezi, clinic muhimu na zingatia vyakula( bahati haina restriction sana kama ya kupanda).

  Daktari atakusaidia, ila wewe mwenyewe utajisaidia zaidi kwa kufuata ushauri.

  Acha mawazo.
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,055
  Likes Received: 6,495
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu, fuata tu masharti ya daktari utakuwa mzima,
  usiogope kabisa.
   
 12. mujydebubyz

  mujydebubyz Member

  #12
  Jul 18, 2014
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu yangu hii post ndio naiona leo. Kitaalamu sukari yako iko normal kwa kuwa binaadamu mwenye sukari ya kawaida huwa ni 3.9 mmol/L isishuke hapo hadi 7mmo/L isipande hapo. Ila ukiona unataka ipande kidogo kunywa Fanta Orange
   
Loading...