Ni kweli kwa mfumo huu ni vigumu kushinda ila vijana sasa hivi tutakuwa na kazi kubwa maana tunashidwa kuelewana wakati hatuonani, ni ishara kuwa tukisimaama jukwaa moja ngumi ni za kukugusa. Kwa upande mwingine serikali ndo imesababisha zama siasa ilifundishwa hata shule ya msingi lakini leo...
Kwa sasa baada ya serikali kuminya ajira naona kila mtu amekuwa mwana ccm, mbaya zaidi hata vyuo kwa sasa ni kama sekondari, msomi mzima lakini hata kuhoji hawezi.
Biashara ya madini sina uzoefu nayo, unajua mji wa Katoro ni wa wafanyabiashara, wakulima, wafugaji na ndo mji unaopendwa na wakazi wengi waozunguka maeneo hayo. Hivyo kama unataka kufanya biashara, 1. Mazao 2. Vifaa vya ujenzi, 3. Vifaa vya umeme maana umeme una mda mfupi umefika. La mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.