Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Watu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.