Recent content by msomi kweli

  1. msomi kweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Kali sana, BONGE MOJA LA COMEDY
  2. msomi kweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sugu,Proffesor Jay, Mwana FA - Maisha, Hip Hop na Siasa

    He is good
  3. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Usimfananishe GADAFFI na watu wa ajabu aisee
  4. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania SoC01 Waraka wa Wanyama kwa Binadamu

    Safi Disasta, umezama kwenye fikra
  5. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

    Niliwahi kukuambia Brother nina mashaka na wewe ukaongea sana. Haya sasa leo utasema nini? Kiko wapi?
  6. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Nimetembea angani na ardhini...Mh. J.M Kikwete ni Rais bora Ilala,Dar es Salaam bara na visiwani. HATA AFRIKA Source..... ...
  7. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    na hili pia? Ndio maana nikakuuuliza: WEWE SIO MMOJA WAO?
  8. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Tukiangalia na hili
  9. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Kwa kunza na hili
  10. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Sory mkuu, kama nimekukwaza. Wakati mwingine hisia zangu hufunika kabisa USOMI wangu
  11. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Unaonekana kama nawe ni miongoni mwao...
  12. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Aisee ni kamaaa

    Unajua vijana wa kitanzania watundu sana... hebu wasikie hawa. Kama umezaliwa nyota yako ya mbwa, basi usishangae kuwa mlinzi mpaka kufa kwako. Kushupalia vitu usivyovijua, ni sawa na kuingiza vocha kwenye simu bila ya kuikwangua. Enyi kizazi cha maandamano,jiepusheni na misafara ya ajabu kama...
  13. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    nisaidie mkuu hivi kiongozi mkuu wa upinzani hapa tanzania ni dr slaa au mh mboye? Nisaidie
  14. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    NDIO TATIZO LA WANACHAMA WENZANGU WA CHAMA CHANGU... HAPO TUU sawa nimepokea ushauri
  15. msomi kweli

    JamiiForums Tanzania Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    mod nisaidie hivi ni ruksa kurusha habari live kutoka mahakamani! sasa kwa nini ITV hawaruhusiwi kujiunga? au sisi tunavunja sheria... ? nisaidie maana na mimi nijue
Back
Top Bottom