Recent content by Msomali jr

  1. Msomali jr

    SAJILI NASI

    Mimi Nina kampun nikihitaji uwe unanifanyia tender application utanifanyia kwa pesa ngap per tender? Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
  2. Msomali jr

    Eliakim Maswi: Mfumo wa kielektroniki "NeST" utadhibiti mianya ya rushwa

    Mimi Nina kampun nikihitaji uwe unanifanyia tender application utanifanyia kwa pesa ngap per tender? Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
  3. Msomali jr

    Mnaweza je kuishi na mwanamke anaongea ovyo na mwenye kiburi

    Majukumu tunasaidiana ila mimi kama mwanaume ndio nalea familia
  4. Msomali jr

    Mnaweza je kuishi na mwanamke anaongea ovyo na mwenye kiburi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ataongea hatar mkuu
  5. Msomali jr

    Mnaweza je kuishi na mwanamke anaongea ovyo na mwenye kiburi

    Ushauri mzuri mkuu[emoji110][emoji110]
  6. Msomali jr

    Mnaweza je kuishi na mwanamke anaongea ovyo na mwenye kiburi

    Ndio tayari uko na mwanamke wa aina hiyo unaishije naye mkuu?
  7. Msomali jr

    Mnaweza je kuishi na mwanamke anaongea ovyo na mwenye kiburi

    Habarini wana jamii nilikuwa nina swali hivi mnaweza je kuishi na mwanamke anaongea ovyo na kiburi
  8. Msomali jr

    Wanaoteseka zaidi katika mapenzi ni wanawake

    Jambo ambalo wengi hatulifahamu ni kuwa wanawake wanaigiza kila kitu kwenye mapenzi ndio maana hata mkiachana utaona anajifanya yuko free na anafurahia maisha hayo mapya lakini deep down wanaumia sana Sas kama mwanaume hutakiwi kushindana nao ni kuishi nao kwa akili tuu.
  9. Msomali jr

    Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Shida wanaume wakisha oa Wana treat mwanamke kama baba na mtoto hakuna tena Yale mapenz ya zamani hata utani pia hakuna show innakuwa mbovu kutokana na majukumu mengi so mwishowe wanawake wanaanza kucheat Ila dad jikaze hiyo n ndoa angalia usipoteze Dira yako na watoto wako jitahid kurudisha...
  10. Msomali jr

    Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

    Kufunga pm au kufungua n kutokana na mtazamo wa mtu binafsi
  11. Msomali jr

    Nyota ya Punda na character zake

    Ase uko kama mimi sipendi kabisa hadi Kuna najilazimisha kukaa na watu ila napenda sana kukaa mwenyewe
Back
Top Bottom