Recent content by msokoto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Incubator machine inahitajika inayotumia solar kwa mwenye uzoef nazo tafadhali Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dell Laptop kushndwa kuwaka!

    Nisaidieni laptop yangu dell nashida! Haiwaki kabisa! Ilianza hivi, Hii laptop betri ilikufa kitambo nkawa naitumia direct kwenye umeme bado ikafanya kazi kwa miez kadhaa baada ya hapo ikashndwa kufnya kazi nkawa mpka nachomoa betri naunga kwenye umeme napgia kaz hvovho kwa miez kadhaa nako...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Computer yangu Destop ya DELL Haiwaki

    Nisaidieni laptop yangu dell nashida! Haiwaki kabisa! Ilianza hivi, Hii laptop betri ilikufa kitambo nkawa naitumia direct kwenye umeme bado ikafanya kazi kwa miez kadhaa baada ya hapo ikashndwa kufnya kazi nkawa mpka nachomoa betri naunga kwenye umeme napgia kaz hvovho kwa miez kadhaa nako...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata internet kupitia decoder!

    Smart huku hatuijui halotel na voda mpaka upande juu ya mti tigo ni zero kabisa![emoji24]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata internet kupitia decoder!

    Huku nipo remote saaana! Yaani ndo airtel wameweka mnara unaserve huduma za sms, kupiga na kupokea simu hakuna internet ya maana!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata internet kupitia decoder!

    Basi nikifika town kwenye internet ntachek mkuu! Ahsante
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata internet kupitia decoder!

    Naomba kusaidiwa mwenye kujua namna ya kupata internet kupitia decoder (king'amuzi) chochote kile iwe dstv/azam anisaidie maana nipo maeneo remote sana hata mtandao wa 2g ni shida yaan ni sms, kupiga na kupokea simu tu! Naona decoder ya DSTV HD Kuna port ya ethernet lakin ipo dormant...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Labda yeye kufuta picha alizokuw kapost n kutokujiamin ama ana sababu kwa nn kafuta! Lakin uelekeo wa cannula hauna mashiko kikubwa tu ni aina gani ya dawa alikuwa kaandikiwa na iingie kwenye mshipa upi! Hizo pocha zingine ni uelekeo wa veins ambao dawa na drip nyingi huingia na huo uelekeo wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Kuna baadhi ya dawa huwa zinakuwa injected kwenye artery so huo uelekeo wa cannula ni uelekeo wa arteries! Hii msimhukum moja kwa moja kuwa uelekeo wa cannula umeenda upande tofauti!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    VodaCom mmejisahau sana! Mtandao hata wa kutuma sms kwa baadhi ya maeneo ni hamna kabisa! Maeneo ya manyara barabara kutoka katesh kwenda kondoa(dodoma) ni hakuna kabisa mtandao lifanyieni kazi basi
  11. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wasitisha ajira za Afya za walioitwa na kupangiwa Vituo vya Kazi tarehe 31/10/2017

    Mbona haijasainiwa wala official stamp haijagongwa hii barua!? Ningesema n invalid letter labda kunaweza kukawa na maelekezo later on!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu pirate! Asante sana nimefanikisha kuiweka sawa!kwa link yako imeniwezesha sana! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuondoa 'Privacy protection password!'

    Niliikuta bidhaa sokon nkabeba ndugu sijui lini wameanza[emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuondoa 'Privacy protection password!'

    Itabidi niwasubiri tu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Nimejaribu hii njia imekataa hainipi option yoyote! Labda Ku re flash / Ku root sina uelewa Wa hivyo vtu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom