Recent content by Msoka1976

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya kuanzia maisha

    kwa ushuri wangu anzia wilaya mpya ya katavi wewe ndio utaonekana mjanja kule maana sehemu nyingine watu wana degree tatu tatu wewe utakuwa kama makamu wa rais maana rais kule ni pinda.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Wewe Do Santos naona ni kibaraka wa nape huna lolote ndio maana unajiita majina ya kizungu upumbavu mtupu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Couples Za Kibongo!

    nani ni nani nyie hata kuweka majina mnaona deal
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    yaani wewe unapoteza muda wako kujadili kuhusu clouds fm kweli una muda wa kupoteza. mimi siwezi kabisa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Stephen Masatu Wassira naye alipiwa ada kadi yake ya NCCR - Mageuzi

    kamanda Vicent Nyerere keep it my friend
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Tuko pamoja wakuu achaneni na hao wanaotumwa na mafisadi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Watanzania walio wengi wana imani na Rais Kikwete

    wewe unapoteza muda na huyo mwendawazimu?. Tafuta hela acha kupishana na hayo magamba ya kobe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

    muacheni mzee wa watu apumzike jamani mbona mnamuandamana sana
Back
Top Bottom