Recent content by MSIZWE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tv series za kijasusi...

    Philip background yake ilikuwa inamtesa sana plus zile semina alizokuwa anaenda zilimfanya akose msimamo kabisa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tv series za kijasusi...

    kile kifo cha Nina kimewaffect sana Oleg na Stan, ile series imeonyesha nguvu ya mapenzi kwenye ujasusi mfano case studies za Nina na Stan, Nina na Oleg, Philip na Martha, Elizabeth na Daniel....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tv series za kijasusi...

    Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    1. Game of thrones 2. Homeland 3. The Americans
  5. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vitabu nilivyosoma 2018

    Hapana mkuu, nina hard copy tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vitabu nilivyosoma 2018

    Hapana mkuu, Mimi ni business consultant ( investment and finance analyst).
  7. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vitabu nilivyosoma 2018

    Nimefanikiwa kusoma vitabu vifuatavyo kwa mwaka 2018. 1. Soccernomics - Simon Kuper & Stefan Szymanski 2.Tax Compliance in Tanzania ( Analysis of law & policy affecting voluntary Tax payer compliance) - Kibuta Ongwamuhana 3. Tax Dispute Resolution - Kibuta Ongwamuhana 4. The East Africa Tax...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe apendekeza washiriki wa Miss Tanzania kupewa kipaumbele ajira za uhudumu wa kwenye ndege za ATCL

    Kwa wanaoamini umiss ni uhuni, kazi shirika la ndege inaweza kuwa ndoto kwao.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Alipotokea hapajui, atajuaje anapoenda.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yake ni mamlaka tu, mengine hayamuhusu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Bikra Maria mtakatifu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kujiajiri sio lelemama.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ajira nayo imekuwa adimu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mshindi wa kitu gani?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nini kinatafutwa hapa?...
Back
Top Bottom