nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,251
- 1,735
Hivi hii kitu haijaendelea bdo?hii ni shida mkuu
Hivi hii kitu haijaendelea bdo?hii ni shida mkuu
Vijana hawazijui movies za maana.Tafuta the Americans. Nzuri.ni season 1 mpaka 6. Ya kijasusi baina ya mtu na mkewe. Ni wa Russian ila walikuwa wanaishia America. Ni nzuri mno
Vijana hawazijui movies za maana.
Big up.
kile kifo cha Nina kimewaffect sana Oleg na Stan, ile series imeonyesha nguvu ya mapenzi kwenye ujasusi mfano case studies za Nina na Stan, Nina na Oleg, Philip na Martha, Elizabeth na Daniel....Kifo cha Nina kiliniuma sana..
Beema mzee wa misimamo, ila kwa Nina alikamatika. Pia naona kama Elizabeth alikuwa na misimamo na maamuzi magumu kuliko Philip.Philip Jennings, Elizabeth Jennings, Stan Beeman, Oleg Bolov, Nina, Claudia...... one of the best spy tv series .
Philip background yake ilikuwa inamtesa sana plus zile semina alizokuwa anaenda zilimfanya akose msimamo kabisa...Beema mzee wa misimamo, ila kwa Nina alikamatika. Pia naona kama Elizabeth alikuwa na misimamo na maamuzi magumu kuliko Philip.