Unapoona mbunge anatoa kauli ya kejeli kama hii,unajiuliza hivi hajui kazi yake ni nini? Hivi hajui kama yeye ni mwakilishi wa wananchi?Au marupurupu na posho anazopata kutokana na kodi za hao wananchi anaowadharau zinampa kiburi na majivuno.?
Kupata bahati ya kupitia vijarida na makaratasi pale...
Huyu msanii..ila ni vizuri "wenyewe" washamfahamu kuwa si mkweli. Nadhani angeanza lipa mkopo yake michafu anayodaiwa na mabenki yetu kabla ya kurukia huku...Sidhani kama awamu hii udalali una nafasi...
We acha tu..ndo mana hii nchi inaendelea kuwa maskini.Kuna haja ya kuwa na watu karibu 400 bungeni wanaolipwa mishahara minono na marupurupu tele kwa kupiga kelele na kusinzia tu wakati wananchi hawana vyoo,madawati,shule??Hiyo taasisi ya Bunge inabidi imulikwe sasa...kuna haja ya kuwa na viti...
Kuna ujinga mwingi sana unaendelea kwenye viwanda ya hawa mabilionea mabepari wetu wa kihindi na kiarabu..Wafanyakazi wananyanyaswa,mishahara iko chini ya kima cha chini,watu wanadhalilishwa.Bidhaa nyingi zinazozalishwa ziko chini ya kitengo.. Wanaleta caravan za vibaraka wao kutoka India ambao...
Aache kupotosha watu bila sababu..Mzungu hawezi kujifanya anapenda sana afya zetu kuliko chochote.Msiwe kama dodoki mnanyonya kila uchafu wa GOoGLE..Huyu dogo anatakiwa ajitambue ..Tumetumia Mafuta ya Nazi/tui la nazi kutoka miaka na miaka kuanzia mababu zetu..kuanzia kilwa ,bagamoyo,Tanga e.t,c...
Yani niache 90m mkopo wa gari,12m mshahara kila mwezi,50m hela ya Jimbo,kiinua mgongo cha 200m+ kila baada ya miaka mitano,marupurupu ya kamati n.k kukupigania wewe fukara? ?
Sahau ndugu,wajinga ndo waliwao! ! Hakuna mwakilishi yuko pale kwa ajili yako ndugu,wote tuko pale kwa ajili ya matumbo...
Kuna mitazamo tofauti hapa,yawezekana wameenda kusoma kujiendeleza kwa maslahi binafsi au kwa ajili ya kujitengenezea utukufu siku za mbeleni..Mana bado kuna kasumba ya kuwa ukisoma nje ni bora kuliko elimu ya vyuo vyetu..ingawa kuna ukweli kwenye baadhi ya
Maeneo unayoyasomea.
Ingawa kusoma...
Hawa si wawakilishi wa wananchi,wanajiwakilisha wao wenyewe na familia zao.Haiwezekani hela kupelekwa kwenye maendeleo watu wanakataa.Vipaumbele vyao ni vipi??
Tatizo bunge imekuwa sehemu ya kutokea kimaisha kwa wengi wao na sehemu ya kutengeneza mtandao wa kujinufaisha badala ya kusaidia...
Ni kweli unachoongea,na pia hawa wapiga kura simple minds hawaitaji vitu vingi zaidi ya maji safi,umeme,barabara,maboresho ya hospital n.k
Ukiwapa hivyo umemaliza kazi na magufuli analijua hilo vizuri sana..Nadhani wale wanasiasa waliokuwa wanatumia ripoti ya CAG kuchukulia sifa binafsi na kwa...
Mkuu ulichosema ni kweli kabisa...jaribu kuingia kwenye kumi na nane za hao Jamaa uliowasema hjuu uone figisufigusu zao. .waweza hama nchi kama una roho nyepesi..
Kama ni kweli
Kama ni kweli ana huo utajiri unaousema basi atakuwa mbinafsi wa hali ya juu..Mbona ameshindwa kuwakomboa jimboni mwake.?
Ataweza kuwakomboa watanzania kweli..?hizo biashara zinalipa kodi stahiki kweli ?Mamlaka inabidi iliangalie hilo jambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.