BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Nafuatilia Mbwembwe za wanasiasa imekuwa kawaida yao kujinasibu kuwa wanalipenda taifa letu na wananchi wake.sijawahi amini dhana hii kwa wanasiasa wa miaka hii.labda kizazi cha Nyerere na wachache walioishi kama yeye.
ZZK yupo USA Havard university(very prestigious university in the world) analipa dola kule mzalendo wetu huyu! hela anazolipa kule angesoma open university/udsm angesaidia watanzania wenye shida ya madawati/miundo mbinu mbalimbali mashuleni.hapo ningemuita mzalendo wa ACT.
Mwigamba anenda kusoma degree ya uzamili na uzamivu Kenyata Universiy kule analipa kwa hela ya kenya/dola ambazo pia angesoma hapa kwetu angetusaidia na chenji zinazobaki.
kukimbilia kupata Elimu kwenye vyuo bora ndio uzalendo wa kuendeleza ubora wa Elimu zetu hapa nchini?!
Pia naamini Habibu Machange ndiye anahitaji ajiendeleze angalau ajenge hoja zenye mashiko.mchangieni hela kama mnavyanzo makini vya hela mpaka mnaenda kusoma nje ya nchi.
Ni mtizamo tu.epuka matusi kwenye mjadala.binafsi siko kambi yoyote ni mchambuzi huru.karibu