oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Tatizo ni nyie binadamu wa kawaida...wewe ukiwepo , kukosa akili ya kufikiri kwa mapana......uliyoyaandika hapo ni dhihirisho tosha, na haitotokea hata siku moja binadamu wa aina yako akaalewa chochote zaidi ya akili zako zilipofika hapo.
Pamoja na hayo sioni tofauti yoyote kati ya hao wanaoua kwa imani za kishirikina na kauli zako hizo za mwenyezi kuumba.
Unampinga ugaidi na ushoga au unausapoti maana huyo uliemkomment anapinga vyote