Uko sahihi. Lissu amekuwa mpambanaji toka mwanzo. Nilichomaanisha kwa aarufu wa overnight ni:
1. Ingawa toka mwanzo alikuwa mpambanaji hakuwahi kupata attention hii anayopata sasa ( jaribu kukumbuka enzi za Kikwete)...na hakuwahi kupaishwa hivi siku zile.
2. No reform no election ilikuwa...
Hawa watu sijui wanawaza nini. Wameamua kumpa Tundu Lissu umaarufu over night!!! Sasa kesi hii inafahamika nje ya mipaka yetu. Sasa Lissu anazidi kujulikana zaidi na no reforms no election inavuka mipaka ya taifa letu.
Kilikuwa na sababu ya yote haya? Kilikuwa na sababu gani ya kumkamata na...
Kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru tuna chama Cha upinzani kinachoanini katika upinzani. Haikuwa na maana na bado hakuna maana yoyote kushiriki katika uchaguzi ambao matokeo yake yanafahamika hata kabla ya uchaguzi. Unaikumbuka hii kauli:
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"...
Uko sahihi Lakini kwa kiasi Fulani TU. Kila taasisi (ya ndoa ikiwemo) Ina masharti yake. Mwanafunzi (shule) Ina masharti au taratibu zake, kabisa, msikiti, chama Cha siasa, familia, nk nk zote hizi Zina taratibu zake. Ndoa (muunganiko wa watu wawili) nayo Ina taratibu zake na kwa asili yake na...
Kinachonishangaza kwa wanawake (Sina maana ya wewe) ni jinsi wanavyozitafuta na kuzitafuta ndoa Lakini wakato huohuo hawako tayari kuzingatia yale ya ndoa. Yaani ndoa Haina maana yoyote kwako Lakini wanakesha kwa manabii na mitume na novena kibao kutafuta ndoa hiyo hiyo ambayo hata km ikifa na...
Wewe haujawahi kudhuriwa na watu bila sababu yoyote ya maana? Kama bado, nakupa hongera. Katika maisha kuna watu ambao raha yao ni kuona wenzao wanaumia hata kama hawajakosewa kwa lolote. Ukiwa mfanyakazi hodari ni shida. Ukijituma ili kuboresha maisha yako wao wanakosoa usingizi na watafanya...
Ghadafi hakuuwawa na wananchi wa Libya bali na waasi kutoka bengazi waliochochewa na nchi za magaribi ambao nao walikuwa na maslai ya mafuta ya Libya (among other reasons).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.