Salaam TUCTA ukiwa mwavuli wa vyama vya wafanyakazi TALGWU, TUGHE, CWT, RAAWU, TUICO, nk
Salaam hizi nazituma kwenu nikiwa sehemu ya jamii ambayo kupitia makato ya 2% ya kila mwezi mnazichukua pasipo kutimiza wajibu wenu
Naomba kufahamu fedha mnazowakata wafanyakazi kila mwezi mnazitumia...
Napenda kutoa masikitiko yangu kwa uongozi wa Hospitali ya Aghakan Mbeya iliyopo mkabala na POSTA.
Kwa siku za hivi karibuni usimamizi umepungua kiasi cha kuathiri utoaji huduma katika kituo hicho cha Afya. Mara kadhaa nimefika hapo nikipeleka wagonjwa lakini naona siku zinavyosonga ndivyo...
Mimi ni mfugaji wa kuku, nguruwe na ng'ombe
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na utitiri wa maduka ya kutengeneza vyakula vya Mifugo ambayo havina ubora. Bahati mbaya watengenezaji hao hawana utaalam wowote juu ya mahitaji halisi ya wanyama hasa kuku.
Mara kadhaa nimenunua vyakula...
Nafikiri kuna vitu huvielewi. Hapo mtoa mada kaongelea mfano madiwani. Mkoa unakuta unazo halmashauri 6 kila halmashauri unalo baraza la madiwani.
Unapoongelea stationery expenditure usiongelee karatasi tu ndugu yangu hapo kuna Cartirage (wino), kuna kuna repair/maintenance za photocopy...
Pia tujiulize nani amefuta posts za Ben kkue facebook?
Je kuna mtu Ben alimuamini sana akampa password yake?
Haya maigizo mbona ni zaidi ya sinema za Bollywood
Ni kweli CDM wanafahamu alipo Ben?
Updates
Sitaki kuamini kwanini MwanaHalisi iamini kile wanachokiita ANDISHI WALILOLIKUTA MLANGONI
Kitendo cha kuipa hilo Andishi ukurasa wa mbele yawezekana kuna kitu kinafichwa
Je, wana uhakika gani aliyeleta hilo andishi mlangoni kwamba siyo wabaya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.